Ndege ya Rais wa Tanzania yatua Madagascar salama

Ndege ya Rais wa Tanzania yatua Madagascar salama

Kinabeba tani ngapi hicho kidege au zinaletwa chache kwa ajili ya majaribio kwanza tukiona zinafaa ndio tutume ile kubwa Boeing sijui ngapi ngapi zile
 
Wagonjwa sio wengi kiasi hicho, wanaleta sample kwanza🙂
Watamjaribishia nani? Labda yeye anywe na familia yake na maccm yanayomuunga mkono maana wengi wameanza kumuona ni tatizo kubwa!
 
Kutokana na janga la corona kuonesha madhaifu makubwa kwa serikali basi kuna watu wanatamani hata dawa isipatikane watu waendelee kufa ili wakubwa waendelee kuumbuka.

Watanzania tusifike huko hili ni janga tena kubwa, wewe unayedharau hiyo dawa basi hujaumwa na kuzidiwa. Ukiwa mgonjwa hata ukiambiwa kinyesi chako ni dawa utakula.

Acha walete dawa ifanyiwe majaribio huwezi jua labda ikawa ni tiba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnywe dawa mnakata nini?mtaachwa njiani nyie mbaki mnatoa macho

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
Hahaha utakunywa wewe na jamaazako kwani nyungu na temperature ya 100 centigrade haijasaidia?
 
Trip ya kwanza ni kwa ajili ya Chattle tu. Zitakazofuat 5 ni kwa jili ya sehemu nyingine za Kanda ya Ziwa.
Hiyo ndege itatosha kubeba mzigo wa kutosha wabongo 55mil+, labda kama kila mmoja atapiga funda moja..
 
Je WHO imeshaipitsha hii dawa? au tunakwenda kuitumia tu kama hizi nyingine tunazopimiwa toka kwa waganga wa kienyeji?
Mbona tiba mbadala zipo tangu za mababu zetu na zinatusaidia mpaka leo bila approval ya mabeberu?
IMG-20200508-WA0035.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Tusitishane, korona ni kaugonjwa kadogo tu, tuchape kazi nchi isonge mbele" - by anonymous

Nchi zote duniani zimekubali kuishi na Covid-19, jela walizojiwekea wanaziondoa kwa aibu na kujifariji ati wamepunguza maambukizi kwa kujifungia ndani. Wangeendela kujifungia wangekufa na njaa.
 
Back
Top Bottom