Ndege ya Rais wa Tanzania yatua Madagascar salama

Ndege ya Rais wa Tanzania yatua Madagascar salama

Kutokana na janga la corona kuonesha madhaifu makubwa kwa serikali basi kuna watu wanatamani hata dawa isipatikane watu waendelee kufa ili wakubwa waendelee kuumbuka.

Watanzania tusifike huko hili ni janga tena kubwa, wewe unayedharau hiyo dawa basi hujaumwa na kuzidiwa. Ukiwa mgonjwa hata ukiambiwa kinyesi chako ni dawa utakula.

Acha walete dawa ifanyiwe majaribio huwezi jua labda ikawa ni tiba.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huwezi kuita dawa kabla ya majaribio..
Inaweza kuwa sumu pia ..
 
Kwamba watanzania wote wataumwa COVID-19nna kuhitaji hiyo dawa?
Tafakari maandishi yako.
Yes wote million 57 kama madereva wa malori wanapatikana na corona Mutukula hadi wanaambukiza Askari wa kiganda unadhani hali ni shwari?

Leo Taita-Taveta wamekamata watanzania 10 na kuwasweka karantini mnaogopwa kama ukoma

Don't be covidiot! Corona unaweza ukaumwa leo after 2 weeks ukapona baada ya siku mbili ukaipata tena.
 
Kaenda kununua dawa zake na familia yake jamaa mbinafsi sana kindege kidogo kitabeba dawa za wananchi kweli.Ila tchaa Kupatwa kwa Tanzania safari hii!hahahahaahhaha
 
Kwani wite hao 57 milioni wanaumwa ndg? Inabeba za kutosha angalau za kutosha watu walio kwenye hatua mbalimbali za tiba ya ugonjwa na ziada kidogo kwa ajili ya wagonjwa wapya
Hako kadege ndio kabebe dawa ya wagonjwa wote?

Embu fikiria Mutukula wanawakuta madereva wa malori wa Tanzania na Covid wanaambukiza hadi ma-soldier wao wameondolewa wote waliokuwepo wamewekwa wengine huko walikotoka hawajaiacha? Maana hawa wana madem kila kona
 
Mbowe anasemaje bado hajaita waandishi wa habari kutoa tamko?
 
Je WHO imeshaipitsha hii dawa? au tunakwenda kuitumia tu kama hizi nyingine tunazopimiwa toka kwa waganga wa kienyeji?
Rais wetu ni mwanasayansi na anajua kila kitu,wewe kula dozi mkuu.kama umeshamaliza dozi ya nyungu,piga hii ili uwe umepata dozi kamili toka kwa Dr.Magu,Daktari bigwa wa magonjwa yaenezwayo na virusi
 
Waambie wakirudi walete na sukari kiasi.
Imeshatua wakuu, tusubirie dawa.
View attachment 1443706

Hao hapo madaktari wetu bingwa ambao ni ujumbe kutoka Tanzania wakiwa Antananarivo.
View attachment 1443715


UPDATES
Hatimaye Waziri wa mambo ya nje Prof. Palamagamba Kabudi amekabidhiwa mzigo wa kutosha kabisa wa COV tayari kuuleta Tanzania kuanza kutumika kwaajili ya Covid 19.

Mods mnaweza kubadili title isomeke "Tanzania yapewa msaada wa dawa ya COV kutoka serikali ya Madagascar kukabiliana na COVID 19"

cc Maxence Melo Moderator

View attachment 1443799
View attachment 1443805
 
Hako kadege ndio kabebe dawa ya wagonjwa wote?

Embu fikiria Mutukula wanawakuta madereva wa malori wa Tanzania na Covid wanaambukiza hadi ma-soldier wao wameondolewa wote waliokuwepo wamewekwa wengine huko walikotoka hawajaiacha? Maana hawa wana madem kila kona
Inafikirisha sana mkuu. Hali ni mbaya kuliko tunavyofikiri. Ugonjwa huenda umesambaa sana, hasa mikoani ambako taarifa hazisambai kama mjini na vipimo hakuna
 
Back
Top Bottom