Goliati mbishi
Senior Member
- Apr 2, 2020
- 127
- 115
Hakuna jema analofanya mkuu wa nchi? Hivi Kama dawa inatibu mtamlaumu Tena au kwa vile hajapitia ngozi nyeupe? Madagascar waweza kutoa dawa ya Corona pia tusubiri walotumwa waje na ripoti ya uchunguzi!!! Si Bora hata wa Madagascar wamejaribu kutoa dawa WAMETHUBUTU ! WA kwetu wamefanya nn?