Ndege ya Rais wa Tanzania yatua Madagascar salama

Ee, Bikira Maria mkingiwa wa dhambi ya asili, muombee kipenzi chetu rais mwenye mapenzi ya dhati na nchi yetu! Ameen!

Tunaukimbilia ulinzi wako, .............
 
Hiyo chanjo ya dawa ambayo haijathibitishwa wakaijaribu jwanza chato kwa muda wa miezi miwili ndo waipeleke kwingineko
 
kwa hio ilipotoka Madagascar ndio imeenda Songwe kupeleka mzigo
 
Naona kupiga nyungu kumefeli,sasa tunatest kitu cha madagascar!Ikishindwa tunajaribu kula cha Arusha!Mgonjwa hachagui dawa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…