Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
![]()
Ndege ya Rais aina ya Gulfstream 550 iliyochukwa nafasi ya Fokker iliyozeeka na ambayo spea zake hakuna!!
Swali: Ndege hiyo ya Fokker kwa sasa iko wapi na inafanya nini?
hii ni ile aliyonununua mkapa, au ni mpya ya jk?
duh za kichina?
kwani wewe unamtazamo gani juu ya suala la ndege ya Rais?
kwani wewe unamtazamo gani juu ya suala la ndege ya Rais?
Hii ndege ya rais walisema mikoa mingapi inaweza kutua?
hii ndege ilinunuliwa nadhani mwaka 2006, duh kama hivyo ndivyo basi sisi wabongo na "mkono wa pili" hatujambo!!
Jaribu kutafakari kidogo kabla ya kuandika na ukishindwa kung'amua omba usaidiwe.
Wanaposema First Delivery inamaanisha kuwa order za kwanza za wanunuzi ziliwasilishwa kwa wenyewe tarehe hizo. Manunuzi ya ndege hii yalifuata sheria ya manunuzi ya Umma ya mwaka 2004.
Ni imani yangu kwamba ndege hizi bado zinatengenezwa leo hii na wanunuzi na oda zao zipo pale pale
Inauwezo wa kutua DAR, Mwanza, Zanzibar, KIA basi. Uwanja wa dodoma lazima uongezwe urefu ndo inaweza kutua.
Upi huo? ule wa nyasi pale Mafiati?... Ruvuma inaweza kutua bila matatizo...Ule wa Mbeya vipi bado au hawakuifikiria na hii ndege
Inauwezo wa kutua DAR, Mwanza, Zanzibar, KIA basi. Uwanja wa dodoma lazima uongezwe urefu ndo inaweza kutua.