Ndege ya Rais wa Tanzania

Ndege ya Rais wa Tanzania

Pape

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2008
Posts
5,487
Reaction score
83
i951_ndege.jpg

Ndege ya Rais aina ya Gulfstream 550 iliyochukwa nafasi ya Fokker iliyozeeka na ambayo spea zake hakuna!!

Swali: Ndege hiyo ya Fokker kwa sasa iko wapi na inafanya nini?

Uwanja wetu wa ndege (wa kimataifa)nao hauko nyuma! Bado tupo tupo kwanza!

i953_ap.JPG

Kitu kimetulia hicho. Hiyo nyingine nadhani itakuwa garage. Kamahaina spea, basi watanunua za kichina kwani wachina na mabingwa wa kutoa photocopy.
 
Kitu kimetulia hicho. Hiyo nyingine nadhani itakuwa garage. Kamahaina spea, basi watanunua za kichina kwani wachina na mabingwa wa kutoa photocopy.

duh za kichina?
 
i951_ndege.jpg

Ndege ya Rais aina ya Gulfstream 550 iliyochukwa nafasi ya Fokker iliyozeeka na ambayo spea zake hakuna!!

Swali: Ndege hiyo ya Fokker kwa sasa iko wapi na inafanya nini?

Mkuu unauhakika spares hakuna? au kuna jambo jingine?
 
Hii ni ile aliyonununua Mkapa, au ni mpya ya JK?
 
duh za kichina?

Ndo maanayake. Bidhaa nyingi zilizoko masokni hapa TZ ni za kichina anzia simu, Redio, TV na vifaa vingi vya umeme zinatoka china, na serikali inaunga mkono kuwepo kwa bidhaa feki, hiyo si ajabu wakaagiza vipuri bandia vya kichina ilimradi % inapatikana
 
Hizi ndo details za gulf stream 550,

Developing nation:
United States of America
Manufacturer/designer:
Gulfstream Aerospace Corporation.
Production line:
Savannah, GA USA.
Type aircraft:
long-range business jet .
First flight:
August 31, 2001.
First delivery:
2003.

Gulfstream G550
Cockpit crew:
2.
Passengers:
14 – 18.
Cabin length:
15,27 m.
Cabin diameter:
2,24 m.
Cabin height:
1,88 m.
Cabin volume:
47,3 m³.
Baggage compartment:
6,4 m³.
Wing span:
28,50 m.
Fuselage length:
29,39 m.
Height:
7,87 m.
Engines:
two Rolls Royce BR710 C4-11 each rated 68.4 kN.
Weight:
- basic operating weight with 4 crew: 21.909 Kg.
- max. zero-fuel weight: 24.721 Kg.
- fuel: 18.733 kg.
- max. payload: 2.812 Kg.
Max. take off weight:
41.277 Kg.
Max. landing weight:
34.156 Kg.
Cruise speed:
946 km/h.
Service ceiling:
12.497 m.
Max. ceiling:
15.545 m.
Max. range:
12.501 km.
Performance:
- take-off run 1.800 m at max. take-off weight.
- landing run 844 m at max. landing weight.

ni ndege nzuri ila sijui gharama za kuiendesha zinakuwaje kwani inaonekana matawi ya juu kinyama.
 
Hii ndege ya rais walisema mikoa mingapi inaweza kutua?
 
First flight:
August 31, 2001.
First delivery:
2003.

hii ndege ilinunuliwa nadhani mwaka 2006, duh kama hivyo ndivyo basi sisi wabongo na "mkono wa pili" hatujambo!!
 
hii ndege ilinunuliwa nadhani mwaka 2006, duh kama hivyo ndivyo basi sisi wabongo na "mkono wa pili" hatujambo!!

Jaribu kutafakari kidogo kabla ya kuandika na ukishindwa kung'amua omba usaidiwe.

Wanaposema First Delivery inamaanisha kuwa order za kwanza za wanunuzi ziliwasilishwa kwa wenyewe tarehe hizo. Manunuzi ya ndege hii yalifuata sheria ya manunuzi ya Umma ya mwaka 2004.

Ni imani yangu kwamba ndege hizi bado zinatengenezwa leo hii na wanunuzi na oda zao zipo pale pale
 
asante labda nilikurupuka!
 
Inauwezo wa kutua DAR, Mwanza, Zanzibar, KIA basi. Uwanja wa dodoma lazima uongezwe urefu ndo inaweza kutua.

Kwa mtaji huu ndege hiyo imenunuliwa kama pambo la nchi
 
Back
Top Bottom