KWELI Ndege ya Rais yaonekana Dubai, leo Julai 28, 2023

Taarifa hii imethibitika kuwa ya kweli baada ya kufanya tathmini ya kina
Ndege ya Rais wa Tanzania yenye usajili wa 5H-ONE imeonekana kutua Dubai na kuanza safari kuelekea Saudi Arabia!...
Hivyo, kutokana na vyanzo hivyo vilivyopitiwa na JamiiForums, hoja inayoeleza kuwa ndege ya 5H-ONE ilionekana Dubai mnamo Julai 28, 2023 na ikaelekea Saudia na taarifa hizo hazikuwekwa katika vyanzo rasmi vya ikulu ni ya ukweli.[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna shida gani si ya kwake rais na ndiyo yuko nayo huko,jadili changamoto za familia yako achana na vitu vingine kama hivi javikusaidii zaidi ya kukuumiza tu
 
JF wameweka evidence wewe jibu hoja kwa counter evidence
 
Ndugu zangu sisi Machawa wa mama tunawasiwasi mkubwa toka Ndege ya Rais ionekane Dubai mpaka Leo hatujamsikia kabisa.
Je Ndege ipo peke yake Dubai au yuko huko?
 
Ndugu zangu sisi Machawa wa mama tunawasiwasi mkubwa toka Ndege ya Rais ionekane Dubai mpaka Leo hatujamsikia kabisa.
Je Ndege ipo peke yake Dubai au yuko huko?
View attachment 2703424
Dah ni kweli sisi machawa lazima tuwe na wasiwasi maana hawa mafisadi walivyompania, tunamuombea rais wetu Dkt Samia Mungu amlide zidi ya hila zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…