Ndege ya saba boeing 787 dreamliner

And who owns over 48% of the tissue papers?
 
Najivunia kuitwa mtanzania na napenda watanzania wenzangu wanaoitetea nchi yetu. Mungu akubariki.
 
And who owns over 48% of the tissue papers?
48% is such a small share for the government considering its supposed to be a national carrier. Nothing to be proud about, and sadly the rest of the shareholders are not people who need to see KQ grow, nope they want their moneyback their core business is banking not airlines.
 
Rwanda iliponunua ndege mpya za kisasa walianza kuponda serikali yetu kuwa haina maana tunazidiwa mpaka na Rwanda? Leo hii wameshageuka tena ndege hazina faida yoyote Kwao

Hapa suala sio mradi kuwa na ndege bali hizo ndege tuna uwezo wa kuziendesha bila kupata hasara!! Kenya wamenunua hizo ndege aina ya dreamliner na wanalia kwa shirika lao kupata hasara!! Magufuli ana haraka gani kukurupuka kununua hizo ndege dreamliner;badala ya kwenda taratibu akiangalia kama hizo Bombadier zake zitaendeshwa kwa faida ndipo aendelee kununua nyingine kutokana na faida itakayopatikana!!! KULIKONI? We urge the government to invest wisely!
 
ATCL haijawahi pata faida tangu miaka ya 70 na hata sasa bado Nazingoja data za kuonyesha kampuni iki break even... somebody tag me if the above is wrong. πŸ˜€πŸ˜€
 
sasa kwa akili yako bombadier ndio zitaenda kufata watalii nje??? we unaakilia au matope
lengo moja wapo ni kukuza utalii
 
ATCL haijawahi pata faida tangu miaka ya 70 na hata sasa bado Nazingoja data za kuonyesha kampuni iki break even... somebody tag me if the above is wrong. πŸ˜€πŸ˜€
na hio kq inayo run loss leo miaka 5 mfululizo haina nafuuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
na hio kq inayo run loss leo miaka 5 mfululizo haina nafuuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Kwa hivyo unakubaliana na Mimi ATCL imekuwa na bado inarun on losses mfululizo for 40+ years? πŸ˜€πŸ˜€ and KQ for 5 years making ours the lesser evil πŸ˜€πŸ˜€
 
It's still majority of the shares. And all those banks that converted their debts to equity are all Kenyan banks and after the restructuring KQ is back to making profit. Sit back relax and watch us fly high as usual. Qatar government bought 50% of shares from other share holders so the government can still do a buyout later own.
 
Kwa hivyo unakubaliana na Mimi ATCL imekuwa na bado inarun on losses mfululizo for 40+ years? πŸ˜€πŸ˜€ and KQ for 5 years making ours the lesser evil πŸ˜€πŸ˜€
yani tumeanza kuingiza ndege mwaka jana mwishoni umeshaanza kulia hehe πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ tena cash deal hakuna loan wala leasing contarct tulia ziingie ndege zote 7 mwaka huu alaf ndio mutajua tunaongea nn
 
sasa kwa akili yako bombadier ndio zitaenda kufata watalii nje??? we unaakilia au matope
lengo moja wapo ni kukuza utalii

Huna akili nzuri hao watalii utakaokwenda kuwachukua na hizo ndege utakuwa unawachukua kila siku kwani wao hawana kazi zao? Biashara ya watalii ni ya msimu na ndege haitakiwi kukaa ardhini ,kila wakati isipokuwa inapokuwamatengenezo inatakiwa kuwa hewani!! Msifanye mambo kwa kuiga mtapasuka.

Halafu kwa tarifa yako, biashara ya Utalii ni very sensitive kwa hali ya usalama wa nchi; wewe unategemea kuwa watalii watakuja wakati kila siku askari wanaranda randa na mabunduki barabarani? Jinsi nchi inavyoendeshwa ndio inayoweza sababisha kufaidika na biashara hiyo au la, sio kuwa na ndege tu!!!
 
na do u expect kua hzo ndege zitaenda sehemu moja kila siku???nimekwambia utalii ni moja ya sababu ziko sababu nyingi lakin nimekutolea moja tu

so unamaumivu makali sana kwasababu tz imenunua ndege brand new cash deal 7 kwa pamoja??
 
"Heshima ya nchi ni ndege" By Jiwe

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
You know nothing about company restructuring and even more nothing on KQ shareholding. Suit yourself
 
Hoja yako ni uharaka wa manunuzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…