Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamnaga jema wakuu wangu
Yaani wanatamani nchi ibaki kuwa duni ili wapate makosa ya kujinadi majukwaani,Inasikitisha sana kuona wengine wakiiombea NCHI YETU mabaya KILA kukicha.
Sijajua wana MAANA GANI. KAMA unakumbuka ndege ilivyokamatwa Canada ilikuwa FURAHA kwao.
Kwahiyo tutakuwa na ndege 2 kubwa boeing 787 dreamliner
Wakenya wanadhani Tanzania tunatania. Hapa kutakuwa na ushindani wa nguvu. Na sisi lengo letu ni kuwaleta watalii nchini mwetu.
Yaani wanatamani nchi ibaki kuwa duni ili wapate makosa ya kujinadi majukwaani,
Rwanda iliponunua ndege mpya za kisasa walianza kuponda serikali yetu kuwa haina maana tunazidiwa mpaka na Rwanda? Leo hii wameshageuka tena ndege hazina faida yoyote Kwao.
Mmaweza kuwa nazo 1000 lkn mkakosa willpower na markeing strategies. Tafuteni hizo kwanza
Vijembe? Na vikisu je?Ushauri mzuri. Lkn punguza vijembe.
Kiufupi hatuna wapinzani tuna waharibifu wa taifa letu, cha kushukuru ni kuwa rais anawajua vizuri ndo maana hataki kuwachekea hawa koko!!Sijajua wana MAANA GANI. Kama unakumbuka awamu iliyopita walikuwa wakimtukana jk matusi ya kila aina eti serikali legelege. SASA amekuja jembe bado kulalamika hakuishi.
Kwenye mapato yote KQ ni 48% inaenda serikalini bado makato ya leasing bills na other expenses unaeza kuta hata hawana tofauti na precision airKQ ina boeing 787 nane(8) Zote kwa mkopo, Afadhali hizi mbili zilizolipwa pesa yote