Ndege ya saba boeing 787 dreamliner

Ndege ya saba boeing 787 dreamliner

Inasikitisha sana kuona wengine wakiiombea NCHI YETU mabaya KILA kukicha.
Sijajua wana MAANA GANI. KAMA unakumbuka ndege ilivyokamatwa Canada ilikuwa FURAHA kwao.
Watanzania kila kitu tunanguliza siasa,si kosa letu hii inatokana na aina ya wanasiasa tulio nao kutoka pande zote mbili
 
Ukitaka kujua jinsi inabidi ujipange agalaia wanaoendesha Emirate kuanzia ma captain walio wengi, Air steards, wapishi ni watu wa wapi? Naopanda Emirate at least mara mbili kwa mwaka njoo na majibu. Tulinganishe na wa kwetu wa Air labda jinsi wanavyozingua na hata Precision air walivyokuwa wanatuendesha Mwanza Dar. Nchi ngapi za Ulaya zina hizi ndege kubwa tuanzie hapo. Hata ndogo ukifamya biashara vizuri huna shida. Tujifunze kwa Auric Air Services walivyowaaminifu.
 
Unafikiria Kwa mapua nini? Mimi nimeuliza ndugu yako anayeongea mambo haelewi swali Kisha unaniquote ukiuliza swali lilo hilo nililouliza.
Kha!! mbona swali rahisi sana. Unaweza taja Ndege zipi Kenya in-own?
 
Hata mimi nashangaa with only 40 aircrafts lakini wamepata ndege za kulease while Ethiopian with 100 they are looking for more expansion room hahaha
Only 40 na nyinyi mko na nne? Umesema ndege zetu ni za kulease, nimekuuliza zitaje ni ngapi tumelease with proof. Out of hizo 40 ni ngapi tumelease?
 
Only 40 na nyinyi mko na nne? Umesema ndege zetu ni za kulease, nimekuuliza zitaje ni ngapi tumelease with proof. Out of hizo 40 ni ngapi tumelease?
Hahaha that is not yet updated

Reality you have somewhat 35 I think remember the sold ones for company's drowning rescue last year
 
Let's argue criticality

So you are lessor and lessee at the same time?

Are you leasing agent?

When and how you will ferry people?


I didn't say we are leasees, you said so and I've asked you to prove it. please, bring your proof.
 
Kwahiyo tutakuwa na ndege 2 kubwa boeing 787 dreamliner



Wakenya wanadhani Tanzania tunatania. Hapa kutakuwa na ushindani wa nguvu. Na sisi lengo letu ni kuwaleta watalii nchini mwetu.

Kwani tunazinunua kwa ajili ya taifa letu au kuzishindanisha na majirani? Acha akili za ukewenza wewe

 
Kwani tunazinunua kwa ajili ya taifa letu au kuzishindanisha na majirani? Acha akili za ukewenza wewe


Nani kasema tunanunua ndege kwa kushindanisha!!? Huo ni upungufu wako wa akili. Hapa tunanunua kwaajili ya kuwaleta watalii moja kwa moja nchini.
 
Back
Top Bottom