NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 14,267
- 14,890
Unafikiria Kwa mapua nini? Mimi nimeuliza ndugu yako anayeongea mambo haelewi swali Kisha unaniquote ukiuliza swali lilo hilo nililouliza.Zitaje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unafikiria Kwa mapua nini? Mimi nimeuliza ndugu yako anayeongea mambo haelewi swali Kisha unaniquote ukiuliza swali lilo hilo nililouliza.Zitaje
Watanzania kila kitu tunanguliza siasa,si kosa letu hii inatokana na aina ya wanasiasa tulio nao kutoka pande zote mbiliInasikitisha sana kuona wengine wakiiombea NCHI YETU mabaya KILA kukicha.
Sijajua wana MAANA GANI. KAMA unakumbuka ndege ilivyokamatwa Canada ilikuwa FURAHA kwao.
Na wewe huoni kama hiyo ni failure decisionWewe mwenye unajua sana niambie ni ndege ngapi KQ imelease. Hivi mnaelewa kwamba KQ pia Ina ndege nyingi ilizolease out kwa airline zingine?
You are very correct, Ethiopia wanatafuta ndege za kununua ilihali KQ vyuma vimekaza hadi ndege zingine wanaamua kuzi kodisha zisipate kutu😀Na wewe huoni kama hiyo ni failure decision
Jibu swali wacha kutapatapaNa wewe huoni kama hiyo ni failure decision
Hata mimi nashangaa with only 40 aircrafts lakini wamepata ndege za kulease while Ethiopian with 100 they are looking for more expansion room hahahaYou are very correct, Ethiopia wanatafuta ndege za kununua ilihali KQ vyuma vimekaza hadi ndege zingine wanaamua kuzi kodisha zisipate kutu😀
Only 40 na nyinyi mko na nne? Umesema ndege zetu ni za kulease, nimekuuliza zitaje ni ngapi tumelease with proof. Out of hizo 40 ni ngapi tumelease?Hata mimi nashangaa with only 40 aircrafts lakini wamepata ndege za kulease while Ethiopian with 100 they are looking for more expansion room hahaha
Let's argue criticalityJibu swali wacha kutapatapa
Hahaha that is not yet updatedOnly 40 na nyinyi mko na nne? Umesema ndege zetu ni za kulease, nimekuuliza zitaje ni ngapi tumelease with proof. Out of hizo 40 ni ngapi tumelease?
Unafikiri zisingekua na faida zingenunuliwa au akili za kinyumbu ndio zinawatuma hvyozina faida Kwa nchi au zinaendeshwa Kwa hasara?
cag ebu tupe ukweli wa hizi ndege
Let's argue criticality
So you are lessor and lessee at the same time?
Are you leasing agent?
When and how you will ferry people?
Hahaha that is not yet updated
Reality you have somewhat 35 I think remember the sold ones for company's drowning rescue last year
Kenya: KQ Sells Two Planes in Bid to Shore Up Its FinancesNow, can you bring forth proof for your claims?
Kwahiyo tutakuwa na ndege 2 kubwa boeing 787 dreamliner
Wakenya wanadhani Tanzania tunatania. Hapa kutakuwa na ushindani wa nguvu. Na sisi lengo letu ni kuwaleta watalii nchini mwetu.
Unajua kweli tofauti ya Lease na Loan? Loan ni mkopo sasa tafuta maana ya lease.KQ ina boeing 787 nane(8) Zote kwa mkopo, Afadhali hizi mbili zilizolipwa pesa yote
Kwani tunazinunua kwa ajili ya taifa letu au kuzishindanisha na majirani? Acha akili za ukewenza wewe
I thought you said KQ's planes are leased, so how can KQ sell planes they leased? 😀😀