Ndege ya saba boeing 787 dreamliner

Ndege ya saba boeing 787 dreamliner

na do u expect kua hzo ndege zitaenda sehemu moja kila siku???nimekwambia utalii ni moja ya sababu ziko sababu nyingi lakin nimekutolea moja tu

so unamaumivu makali sana kwasababu tz imenunua ndege brand new cash deal 7 kwa pamoja?

Sina maumivu bali sifurahii kodi yangu kutumika bila mpangilio unaoeleweka!!! Inaelekea hujui biashara na ndege, unafikiri ni sawa na biashara ya bajaj unakwenda kokote unakotaka wewe wakati wowote!!! Safari za ndege zina utaratibu wake ambao lazima ufuatwe ; huwezi kukurupuka tu leo unasema unakwenda America ukirudi unasema unakwenda China, haiko hivyo!!! Njia za angani ni lazima uwe na kibali.

Kununua ndege saba kwa kulipa cash sio sifa bali ni kutokujua mbinu za biashara; kwani hizo hizo ndege zingeweza kupatikana kwa masharti ambayo nchi ingebakiwa na fedha nyingi tu za kuwahudumia wananchi wanaoteseka na mafuriko kila mvua zinaponyesha!!

Haya ni mapungufu yanayozikumba nchi zinazoendeshwa kwa utawala wa kutokufuata sheria na katiba za nchi zao.
 
na do u expect kua hzo ndege zitaenda sehemu moja kila siku???nimekwambia utalii ni moja ya sababu ziko sababu nyingi lakin nimekutolea moja tu

so unamaumivu makali sana kwasababu tz imenunua ndege brand new cash deal 7 kwa pamoja??
Kuna mijamaa humu
Inawivu,Gubu&husda mbaya sana na inchi yao

Aisee,
Sijui imezaliwa WAPI hii mijamaa.

YAAN HAPA NDO HUA NAFKIA NAONA UMUHIMU

HASA WA HII IDARA YETU NYETI YA UHAMIAJI HAPA NCHINI
 
hujui kitu katika aviation industry so kaa kimya

Unfortunately; hujui unamuandikia nani , naweza kukufundisha mambo ya AVIATION na ukihitimu ukapata kazi ICAO bila interview kwani recommendation yangu tu itatosha!!
 
Sina maumivu bali sifurahii kodi yangu kutumika bila mpangilio unaoeleweka!!! Inaelekea hujui biashara na ndege, unafikiri ni sawa na biashara ya bajaj unakwenda kokote unakotaka wewe wakati wowote!!! Safari za ndege zina utaratibu wake ambao lazima ufuatwe ; huwezi kukurupuka tu leo unasema unakwenda America ukirudi unasema unakwenda China, haiko hivyo!!! Njia za angani ni lazima uwe na kibali.

Kununua ndege saba kwa kulipa cash sio sifa bali ni kutokujua mbinu za biashara; kwani hizo hizo ndege zingeweza kupatikana kwa masharti ambayo nchi ingebakiwa na fedha nyingi tu za kuwahudumia wananchi wanaoteseka na mafuriko kila mvua zinaponyesha!!

Haya ni mapungufu yanayozikumba nchi zinazoendeshwa kwa utawala wa kutokufuata sheria na katiba za nchi zao.
kama hufurahii kwa sasa utafurahia kwa baadae alaf Air tanzania ni shirika linalofufuliwa sio jipya mbele ya macho ya watu na sio kwamba haikufanya kazi kwenda nje ya nchi huko nyuma sasa kama wamejipanga vyema na wamepata ndege mpya zisizo na stress ya loan au leasing bills lazima shirika litatengeneza faida kwa haraka

na labda mm nikuelekeze kitu hakuna sector tanzania inayokua kwa haraka na kuingiza fedha za kigeni kama utalii, sasa huwezi kua unakuza utalii huna ndege za kuleta watalii na hakuna kitu mtalii yoyote hakipendi kama safari za kuunganisha so tegemea mazuri na ATCL naimani imejipanga vyema
 
Sina maumivu bali sifurahii kodi yangu kutumika bila mpangilio unaoeleweka!!! Inaelekea hujui biashara na ndege, unafikiri ni sawa na biashara ya bajaj unakwenda kokote unakotaka wewe wakati wowote!!! Safari za ndege zina utaratibu wake ambao lazima ufuatwe ; huwezi kukurupuka tu leo unasema unakwenda America ukirudi unasema unakwenda China, haiko hivyo!!! Njia za angani ni lazima uwe na kibali.

Kununua ndege saba kwa kulipa cash sio sifa bali ni kutokujua mbinu za biashara; kwani hizo hizo ndege zingeweza kupatikana kwa masharti ambayo nchi ingebakiwa na fedha nyingi tu za kuwahudumia wananchi wanaoteseka na mafuriko kila mvua zinaponyesha!!

Haya ni mapungufu yanayozikumba nchi zinazoendeshwa kwa utawala wa kutokufuata sheria na katiba za nchi zao.

Acha gubu lako na chuki zako. Kodi unalipa peke yako? Mbona sisi walipa kodi wengine tunaunga mkono ununuaji wa ndege.

Umuhimu wa kufufua ATCL uko wazi ila mmejitia ujinga tu.
 
Unfortunately; hujui unamuandikia nani , naweza kukufundisha mambo ya AVIATION na ukihitimu ukapata kazi ICAO bila interview kwani recommendation yangu tu itatosha!!
Kwa ushuzi huo?
 
Sina maumivu bali sifurahii kodi yangu kutumika bila mpangilio unaoeleweka!!! Inaelekea hujui biashara na ndege, unafikiri ni sawa na biashara ya bajaj unakwenda kokote unakotaka wewe wakati wowote!!! Safari za ndege zina utaratibu wake ambao lazima ufuatwe ; huwezi kukurupuka tu leo unasema unakwenda America ukirudi unasema unakwenda China, haiko hivyo!!! Njia za angani ni lazima uwe na kibali.

Kununua ndege saba kwa kulipa cash sio sifa bali ni kutokujua mbinu za biashara; kwani hizo hizo ndege zingeweza kupatikana kwa masharti ambayo nchi ingebakiwa na fedha nyingi tu za kuwahudumia wananchi wanaoteseka na mafuriko kila mvua zinaponyesha!!

Haya ni mapungufu yanayozikumba nchi zinazoendeshwa kwa utawala wa kutokufuata sheria na katiba za nchi zao.
hii ndio faida ya kununua ndege tena kwa haraka sana bila kuchelewa
884144F5-04AD-4C7E-8B6E-EF57687B875F.jpeg
 
tujikumbushe tu babayao ni nani.........KQ all the way!!
IMG_20180501_235910_919.JPG
 
Kwahiyo tutakuwa na ndege 2 kubwa boeing 787 dreamliner

Wakenya wanadhani Tanzania tunatania. Hapa kutakuwa na ushindani wa nguvu. Na sisi lengo letu ni kuwaleta watalii nchini mwetu.

you can borrow, hire, kopa any plane you want lakini jinsi ya kuendesha biashara ya usafiri wa ndege mtafahamu sio dala dala au BRT. All the best!!!
 
I can assure u we won't make those long streak record losses like KQ does! Watch the space..
 
Back
Top Bottom