Watanzania ni lazima waeleweshwe vizuri. Biashara ya Ndege haina faida. Biashara ya Ndege ya ATC faida yake ni kusaidia biashara nyingine muhimu kama utalii na mizigo kama ya kilimo, Maua na mifugo.
Sasa kuna wasomi wengi nashangaa wana lalama eti ndege ya saudi ambayo itakuja kuchukuwa mizigo na kuleta watalii ni habari mbaya kwa ATC wakati inajulikana ATC inapata hasara.
Sasa ni baraka badala ya kupeleka mizigo wanakuja kuchukuwa wenyewe na chombo chetu hakikuwa kinapata faida. Hii ni habari nzuri.
Tatizo letu tunasahau mapema sana kwamba ATC ni kama mabasi ya mwendo kasi nia sio kupata faida kubwa kwenye mabasi lakini kuhakikisha watu wengi wanaweza kwenda kwenye shughuli zao za maisha na biashara kirahisi.
Urahisi huu unaleta kodi na mapato zaidi kwa serikali na serikali inatumia pesa kati ya hizo kuendesha hili shirika la ndege ingawa linapata hasara.
Hii ndiyo sababu kubwa na kuendelea kuendesha sherika ingawa lina hasara ni kwasababu ya manufaa kwenye sehemu nyingine.
Ndege zingekuwa zinakuja kuchukuwa mazao, kuleta watalii sehemu zote tusingekuwa na umuhimu wa kuwa na shirika letu.