Ndege ya Serikali kutumiwa na CCM kwa kazi za kichama ni sahihi?

Ndege ya Serikali kutumiwa na CCM kwa kazi za kichama ni sahihi?

The Sheriff

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2019
Posts
747
Reaction score
2,112
Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Nchimbi ametua Uwanja wa Ndege wa Tabora leo kushiriki mazishi ya Mzee Hassan Mohammed Wakasuvi.

Nimeona Daktari ametimba mjini Tabora na ndege ya Serikali. Swali langu ni: Je, ni sahihi ndege ya serikali kutumika kwa kazi za kichama?

Nchimbi.jpg

Nchimbi 2.jpg

Nchimbi 3.jpg
 
Huwa wanasema inakodishwa na wakala wa ndege za serikali...

Ajabu sijawahi kuona watu binafsi wamekodishwa...
 
Hii nchi wananchi hata hatujui lolote tupo tupo tu km ma misukule watu wanachezea kodi zetu tuko kimya ila huku mtaani mwizi akiiba kuku tunamchoma moto wala mabilioni tunawapokea na shangwe kwenye mikutano yao...
 
Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Nchimbi ametua Uwanja wa Ndege wa Tabora leo kushiriki mazishi ya Mzee Hassan Mohammed Wakasuvi.

Nimeona Daktari ametimba mjini Tabora na ndege ya Serikali. Swali langu ni: Je, ni sahihi ndege ya serikali kutumika kwa kazi za kichama?

View attachment 2914711
View attachment 2914712
View attachment 2914713
Ndio maana hayo mandege yanapigwa laana , wakati wa Chongolo niliwahi kuomba ATCL waweke risiti ya malipo kwa ccm kutumia ndege zao hadi leo hawakunipa risiti hizo
 
Watu wako kule kwa mke wa Bilionea. Hizi issue watanzania huwa haziwahusu. Sijui tumerogwa wapi.
 
Serikali yenyewe inapokea maelekezo kutoka CCM ndo iwe kutumia ndege? Umekosa uzi wa kuandika?
 
Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Nchimbi ametua Uwanja wa Ndege wa Tabora leo kushiriki mazishi ya Mzee Hassan Mohammed Wakasuvi.

Nimeona Daktari ametimba mjini Tabora na ndege ya Serikali. Swali langu ni: Je, ni sahihi ndege ya serikali kutumika kwa kazi za kichama?

View attachment 2914711
View attachment 2914712
View attachment 2914713
Samia anazidi kuvuruga nchi, hajui mipaka ya kazi yake kikatiba, yeye anafikiria mavazi na vitu vya bei kali tu. Mama wa kiswahili na kizanzibari
 
Back
Top Bottom