Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Ni sahihi kabisa kwasababu CCM sio tuu ni chama cha siasa, CCM ni chama dola!. CCM ni dola!. Hivyo sio tuu hiyo ndege ni ya serikali, serikali yote ni serikali ya CCM!. CCM ndio wenye nchi, ndio wenye serikali, na ndio wenye kila kitu!. CCM sio tu ni chama tawala, bali pia ni chama Dola!Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Nchimbi ametua Uwanja wa Ndege wa Tabora leo kushiriki mazishi ya Mzee Hassan Mohammed Wakasuvi.
Nimeona Daktari ametimba mjini Tabora na ndege ya Serikali. Swali langu ni: Je, ni sahihi ndege ya serikali kutumika kwa kazi za kichama?
View attachment 2914711
View attachment 2914712
View attachment 2914713
P