The Sheriff
JF-Expert Member
- Oct 10, 2019
- 747
- 2,112
ni sahihi kabisa aiseeeKatibu Mkuu wa CCM, Dkt. Nchimbi ametua Uwanja wa Ndege wa Tabora leo kushiriki mazishi ya Mzee Hassan Mohammed Wakasuvi.
Nimeona Daktari ametimba mjini Tabora na ndege ya Serikali. Swali langu ni: Je, ni sahihi ndege ya serikali kutumika kwa kazi za kichama?
View attachment 2914711
View attachment 2914712
View attachment 2914713
Uliishawahi kwenda kuikodi wakakunyima?Huwa wanasema inakodishwa na wakala wa ndege za serikali...
Ajabu sijawahi kuona watu binafsi wamekodishwa...
Ndio maana hayo mandege yanapigwa laana , wakati wa Chongolo niliwahi kuomba ATCL waweke risiti ya malipo kwa ccm kutumia ndege zao hadi leo hawakunipa risiti hizoKatibu Mkuu wa CCM, Dkt. Nchimbi ametua Uwanja wa Ndege wa Tabora leo kushiriki mazishi ya Mzee Hassan Mohammed Wakasuvi.
Nimeona Daktari ametimba mjini Tabora na ndege ya Serikali. Swali langu ni: Je, ni sahihi ndege ya serikali kutumika kwa kazi za kichama?
View attachment 2914711
View attachment 2914712
View attachment 2914713
Labda wameikodi!Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Nchimbi ametua Uwanja wa Ndege wa Tabora leo kushiriki mazishi ya Mzee Hassan Mohammed Wakasuvi.
Nimeona Daktari ametimba mjini Tabora na ndege ya Serikali. Swali langu ni: Je, ni sahihi ndege ya serikali kutumika kwa kazi za kichama?
View attachment 2914711
View attachment 2914712
View attachment 2914713
Yoyote anakodi tuHuwa wanasema inakodishwa na wakala wa ndege za serikali...
Ajabu sijawahi kuona watu binafsi wamekodishwa...
Uliishawahi kwenda kuikodi wakakunyima?
Chama kimeshika Hatamu !Mtatufanya nini sasa tukitumia hii ndege ?
Hata ikulu imegeuka Ukumbi wa mikutano ya wajumbe wa Halmashauri kuu ya ccm yote haya ni KATIBA ya HOVYOKatibu Mkuu wa CCM, Dkt. Nchimbi ametua Uwanja wa Ndege wa Tabora leo kushiriki mazishi ya Mzee Hassan Mohammed Wakasuvi.
Nimeona Daktari ametimba mjini Tabora na ndege ya Serikali. Swali langu ni: Je, ni sahihi ndege ya serikali kutumika kwa kazi za kichama?
View attachment 2914711
View attachment 2914712
View attachment 2914713
Samia anazidi kuvuruga nchi, hajui mipaka ya kazi yake kikatiba, yeye anafikiria mavazi na vitu vya bei kali tu. Mama wa kiswahili na kizanzibariKatibu Mkuu wa CCM, Dkt. Nchimbi ametua Uwanja wa Ndege wa Tabora leo kushiriki mazishi ya Mzee Hassan Mohammed Wakasuvi.
Nimeona Daktari ametimba mjini Tabora na ndege ya Serikali. Swali langu ni: Je, ni sahihi ndege ya serikali kutumika kwa kazi za kichama?
View attachment 2914711
View attachment 2914712
View attachment 2914713
Huu msemo una maana kubwa sana kwenye siasa za Tanzania hadi kuwa za hovyo.Chama kimeshika Hatamu !