Ndege ya Serikali kutumiwa na CCM kwa kazi za kichama ni sahihi?

Ni sahihi kabisa kwasababu CCM sio tuu ni chama cha siasa, CCM ni chama dola!. CCM ni dola!. Hivyo sio tuu hiyo ndege ni ya serikali, serikali yote ni serikali ya CCM!. CCM ndio wenye nchi, ndio wenye serikali, na ndio wenye kila kitu!. CCM sio tu ni chama tawala, bali pia ni chama Dola!
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…