Ndege ya shirika la ndege la Kenya Airways (KQ) yatua kwa dharura uwanja wa ndege wa Arusha

Namna isiyoeleweka labda! Arusha Airport ni ndogo kulinganisha na KIA na hata umbali si zaidi ya 50km tena kwa ndege ni chini ya dakika 10 tu kutua so WHY Arusha?
Soma taarifa vizuri na ni vizuri utulie wakati unasoma.
 
hawa wa Kenya hawa hawana lolote, walikuwa wanatuletea CORONA, media zao zitakuwa zinaandika CORONA negativity kwa TZ utadhani kwao hakuna CORONA

Jamaa watumia fursa saana hao ma opportunist
 
Namna isiyoeleweka labda! Arusha Airport ni ndogo kulinganisha na KIA na hata umbali si zaidi ya 50km tena kwa ndege ni chini ya dakika 10 tu kutua so WHY Arusha?
Mkuu kwani unafikri ni swala ukaribu au umbali tu?Inategemea pia na hali ya hewa katika target airport pamoja na maelekezo anayopata kutoka kwa waongoza ndege.Wakati mwingine Slots zinakuwa tight inabidi utafutwa uwanja ambao upo karibu ndo watue hapo.Cha muhimu ni abiria wako salama bas.The rest ni sehemu ya maisha
 
Finally, it diverted to Kilimanjaro International Airport and landed safely at 8:25 am.
 
shukrani so hapo angekosa slots zingekuwa taight kia jnia abeid mbeya basi kq ingejijuta yatua tena kusaka ilipotoka!?
 
Kwa kawaida huwa hesabu za safari zinakuwa na emergence landing areas ambazo zinakuwa zinafahamika.Kwa hio inakuwa inajulikana ni ndege gani ziko katika airspace gani kwa wakati fulani.Ndege pia huwa na reserve fuel ya kiwango fulani ambayo ina maana wale KIA wanao uwezo wa kuzuia ndege ingine ili hio itue kwa sababu ni dharura.So kurudi Lusaka ni katika worst Case Scenario kuna Airports Alternative nyingi sana,Mwanza,EBB,KIA,DAR,DODOMA ZNZ,MBA,etc so kurudi LUSAKA is out of question.
 
Wametoka Zambia siyo Spain ondoa shaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namna isiyoeleweka labda! Arusha Airport ni ndogo kulinganisha na KIA na hata umbali si zaidi ya 50km tena kwa ndege ni chini ya dakika 10 tu kutua so WHY Arusha?
Muda huo kulikuwa na flights zingine zilikuwa kwenye ratiba ya kutua kia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…