displayname
JF-Expert Member
- Feb 15, 2013
- 1,972
- 1,091
- Thread starter
- #41
okMuda huo kulikuwa na flights zingine zilikuwa kwenye ratiba ya kutua kia
okMuda huo kulikuwa na flights zingine zilikuwa kwenye ratiba ya kutua kia
Kwa kawaida huwa hesabu za safari zinakuwa na emergence landing areas ambazo zinakuwa zinafahamika.Kwa hio inakuwa inajulikana ni ndege gani ziko katika airspace gani kwa wakati fulani.Ndege pia huwa na reserve fuel ya kiwango fulani ambayo ina maana wale KIA wanao uwezo wa kuzuia ndege ingine ili hio itue kwa sababu ni dharura.So kurudi Lusaka ni katika worst Case Scenario kuna Airports Alternative nyingi sana,Mwanza,EBB,KIA,DAR,DODOMA ZNZ,MBA,etc so kurudi LUSAKA is out of question.
Yes bro that was Ethiopian Airline...thanksJe sio ethiopia airways?