OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Kila dakika mkuu.Jordani hata akisema atumie kama atumiavyo Floyd ,bado Floyd hamfikii wewe jiulize Jordani kwa siku anauza viatu pair ngapi,bado kuna mikufu na t-shirt zake ,kwa kifupi Jordan anaingiza hela kila siku.
Sasa huyo Dangote ambaye hata demu hana wala hajui kuhonga unafikiri kuna umuhimu wa kumzungumzia?
Siongei vitu juu juu bali ninaongea kutokana na uhalisia.
Floyd akikubali kurudi tena ulingoni kwa ajili
ya rematch kati yake na Canelo atakuwa mbali sana na lazima aingize kiasi kikubwa sana kupitia PPV.
ha ha ha kama ameajiriwa anaweza fanya kazi kwa bidii na pato lisiongezeke.Ila najiuliza kwa nini hawa wanamichezo wasingekuwa wanawekeza fedha zao kwenye majengo kama hotel hivi ili miaka yote wakiwa nje ya ulingo waendelee kula maisha! ni mtazamo wangu tu.Pambana ,fanya kazi kwa bidii na maarifa utafanikiwa kununua hiyo baiskeli.
Huyo Mo pesa zake za ukoo usimfananishe na Floyd ,ingawa kimapato Mo yupo mbali.
ha ha ha kama ameajiriwa anaweza fanya kazi kwa bidii na pato lisiongezeke.Ila najiuliza kwa nini hawa wanamichezo wasingekuwa wanawekeza fedha zao kwenye majengo kama hotel hivi ili miaka yote wakiwa nje ya ulingo waendelee kula maisha! ni mtazamo wangu tu.
Zinazingua kivipi?
Hakuna alichokiacha kwenye boxing
Ameshawatandika vya kutosha mabondia tishio wote kuanzia Cotto,Hatton,Oscar De La Hoya,Pacquiao,Maidana,Canelo,Zabb Juddah,Marquez etc .
Dangote hali bata lakin anatumia fedha mnoo..Sasa huyo Dangote ambaye hata demu hana wala hajui kuhonga unafikiri kuna umuhimu wa kumzungumzia?
Kwani mkuu Floyd Si amewekeza ana kiwanda chake cha TMT!?Siku hizi wanafanya hivyo, unakuta wanakuwa na financial advisors wa kuwashauri jinsi ya kufanya investments.
Ni wachache sana ambao wamebaki na akili za kama Mayweather.
Kila mtu apambane na hali yake, au umesahau kwamba mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake?Mimi nawaza iv kuna fahar gan kununua mindege....migar ya garama na mijumba ya kifahari ilihali kuna watu hawana chakula....malazi!???
Nadhan tunasahau kua tukifa hatuzikw hata na senti........
Mm ndo mana namkubali sanaaaa Man Paq
Sent using Jamii Forums mobile app
Thibitisha.
Kama lipi?
Una akili timamu?
Thibitisha.