Ndege ya tano kumiliki Floyd Sinclair Joy Mayweather Jr.

Ndege ya tano kumiliki Floyd Sinclair Joy Mayweather Jr.

Siongei vitu juu juu bali ninaongea kutokana na uhalisia.

Floyd akikubali kurudi tena ulingoni kwa ajili
ya rematch kati yake na Canelo atakuwa mbali sana na lazima aingize kiasi kikubwa sana kupitia PPV.

Mimi nisingeku-challenge kama usingetaja kwamba akikubali atampita Jordan (hapo kwa Jordan ndipo nilipotaka urekebishe).

Angalau ungesema atapita nusu ya utajiri wa Jordan.
 
Pambana ,fanya kazi kwa bidii na maarifa utafanikiwa kununua hiyo baiskeli.
ha ha ha kama ameajiriwa anaweza fanya kazi kwa bidii na pato lisiongezeke.Ila najiuliza kwa nini hawa wanamichezo wasingekuwa wanawekeza fedha zao kwenye majengo kama hotel hivi ili miaka yote wakiwa nje ya ulingo waendelee kula maisha! ni mtazamo wangu tu.
 
Siku hizi wanafanya hivyo, unakuta wanakuwa na financial advisors wa kuwashauri jinsi ya kufanya investments.

Ni wachache sana ambao wamebaki na akili za kama Mayweather.
 
Mimi nawaza iv kuna fahar gan kununua mindege....migar ya garama na mijumba ya kifahari ilihali kuna watu hawana chakula....malazi!???
Nadhan tunasahau kua tukifa hatuzikw hata na senti........

Mm ndo mana namkubali sanaaaa Man Paq

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila mtu apambane na hali yake, au umesahau kwamba mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake?

Halafu kitu kingine usimpangie mtu namna ya kutumia pesa zake wakati hata hukumsaidia kutafuta hizo pesa.
 
Back
Top Bottom