Ndege ya tano kumiliki Floyd Sinclair Joy Mayweather Jr.

Uyo Naye keshafilisika kitambo tu ..anabaki kutengeneza bifu ambazo hazina mashiko tena kwenye kizazi cha sasa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ila 50 kajitoa tu ufahamu lakini ana investments za kutosha. Hana matumizi ya kishamba kama May.
 
Siongei vitu juu juu bali ninaongea kutokana na uhalisia.

Floyd akikubali kurudi tena ulingoni kwa ajili
ya rematch kati yake na Canelo atakuwa mbali sana na lazima aingize kiasi kikubwa sana kupitia PPV.
Mwambie boss wako asithubutu kufanya hilo kosa hata akiahidiwa pesa ngapi, Canelo wa sasa sio yule aliyempiga enzi zile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda kwa sasa hivi ..hata hivyo ukicheki nyuma yao utakuta ni wazungu ndo wanawapa izo fact za kuwekeza kwa kutumia vipaji vyao ..mf mtu kama Jay z kweny kampuni kaajiri wazungu wengi zaid na wahindi ..unadhani ni kwanini kawaacha blacks mpak wakawa wana mmind..

Hata hivyo bado ni wachache sana wanaofanya ivyo mkuu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku hizi wanafanya hivyo, unakuta wanakuwa na financial advisors wa kuwashauri jinsi ya kufanya investments.

Ni wachache sana ambao wamebaki na akili za kama Mayweather.
May mjanja, anaingiza hela kwa njia nyingi. Moja wapo ni gym kubwa ambayo wanaitumia mabondia wake anao wapromote kipitia Mayweather Promotion

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ukitaka kufanikiwa lazima utumie watu wenye right minds, ndiyo maana kawaweka wazungu.

Na Jay Zee ni family man, kwa hiyo utaona maisha yake yako tofauti na Black Americans wengi kwenye industry yake.
 
We jamaa inaonekana unampenda sana Floyd, Aliko Dangote ana zaidi ya USD 10 bil, means May ana less than 8% ya utajiri wa Dangote. Ndo unalinganisha!
Unaelewa tunabishania nini au umekurupuka???


Huyo Dangote starehe hazijui na demu hata wa kusingiziwa hana usimfananishe na Floyd.
 
Hahaha acha dharau kwa Aliko wewe ..

Hao maiwetha 15 ndo Dangote mmoja. Hivi kwanza unajua Dangote ana kiasi gani? Yeye ndo mweusi wa kwanza mwenye pesa ..

Mo wa simba kamkimbiza uyo Mayweither..

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo Mo pesa zao za ukoo pia ni mbahili usimfananishe ma Floyd.

Mo hata kuajiri boardguard wa kumlinda anaona ubahili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…