OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Uyo Naye keshafilisika kitambo tu ..anabaki kutengeneza bifu ambazo hazina mashiko tena kwenye kizazi cha sasa..Kweli kabisa wala hawana msaada kwa Waafrika wenzao. Kuna huyu 50cent nayeye ovyo tu kila siku anapost ujinga tu. Hivi karibuni kuna afisa mmoja wa polisi alikuwa amepanga mpango wa kumpiga risasi za kutosha naona ingependeza
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app