Ndege ya tano kumiliki Floyd Sinclair Joy Mayweather Jr.

Kila mtu ana namna ya maisha anayotamani kuyaishi ndio maana anafanya juhudi na maarifa ili kusudi aweze kutimiza kuishi maisha anayoyatamani.


Tuanzie hapa unamiliki simu ipi?
 
Daah alitengeneza mpunga mrefu sana..hizi ndo akili zinazotakiwa ..sio kununua ndege tano wakati ndege ni zile zile tu ..

Mayweither anahitaji ushauri zaidi..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anazo investments nadhani... Pia ana hisa kwenye makampuni makubwa... Anyway asilaumiwe hata sisi tungefanya kama yeye tena pengine kumzidi

Jr[emoji769]
Mkuu, huyo kijana hajitambui .

Hamfahamu Floyd hata theluthi, angekuwa anamfahamu asingeandika kitu cha kipuuzi kama hicho.
 
Duh 50 kumbe alikuwa na 150 tu..hahaha halafu uo ujinga qa kupost dem wa jamaa akiwa uchi ndo ushamba wenyewe uo mkuu..

Hata mim ningedai aise..

Sent using Jamii Forums mobile app

50 ana bifu ambazo huwa anawahusisha family members.

Aliwahi kumpost mama yake French Montana akiwa amelala kwenye ile ya kujiinamisha kwenye meza, akionesha kwamba anaweza kuwafikia ndugu wa karibu na kuwafanyia kitu.
 
Daah alitengeneza mpunga mrefu sana..hizi ndo akili zinazotakiwa ..sio kununua ndege tano wakati ndege ni zile zile tu ..

Mayweither anahitaji ushauri zaidi..

Sent using Jamii Forums mobile app

LeBron hata wakati hawa wamiliki wa Liverpool wa sasa wanainunua yeye aliweka $6 mil, na kipindi hicho LFC ilikuwa na thamani ya around $300 mil, sasa hivi kwa thamani ya LFC ilivyo, jamaa ana zaidi ya $40 mil.
 
Hivi wanazipata kutoka wapi? kiingilio? Nieleweshe!
Hizo hela ni jumla ya utajiri wote waliokuwa nao ambazo kwa Floyd source yake kubwa ni mapambano anayopigana,analipwa kwa kila pambano analopigana na kila Boxer ana dau lake kulingana na thamani yake,Boxer yeye hausiki na vingilio hilo ni swala la mwaandaji wa pambano.Ila Jordan ni moja ya mchezaji bora wa BasketBall wa NBA source yake ni biashara ya viatu,mikufu,T-shirt nk na hela alizozipata akiwa mchezaji
 
Ni balozi wa vinywaji kadhaa, na ndiye mmiliki wa series ya Power, anaigiza movies pia.

Ukiingia google ukasearch investments zake utaona, si baba yuko njema.
Japo kashindana na mwanae wa kwanza

Amekuwa kama diamond na baba yake

Nasikia mama yake kampa sumu saana mtoto wake ili kiweka uhasama kati yao

Kuna siku 50 alisema bora mtoto wake apate ajari afe..maana alisha mblock hata kwenye insta yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…