Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
- Thread starter
- #121
Kila mtu ana namna ya maisha anayotamani kuyaishi ndio maana anafanya juhudi na maarifa ili kusudi aweze kutimiza kuishi maisha anayoyatamani.Wewe unaongelea starehe??
Ndo matumizi ya pesa hayo??
Kununua ndege tano, kumiliki magari dazeni, sasa saiv Floyd akidanja atakuwa ameacha nini cha kukumbukwa? Danguro? Ndge tano?
Acha ushamba mkuu..
Kam wazungu wangekuwa na akili za akina mayweitha..
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuanzie hapa unamiliki simu ipi?