Ndege ya tano kumiliki Floyd Sinclair Joy Mayweather Jr.

Unaafaa kua mpambe wa ccm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siongei vitu juu juu bali ninaongea kutokana na uhalisia.

Floyd akikubali kurudi tena ulingoni kwa ajili
ya rematch kati yake na Canelo atakuwa mbali sana na lazima aingize kiasi kikubwa sana kupitia PPV.
Uhalisia anaujua mwenyewe Floyd bana.wewe kajambe Nani hapo mwananyamala unakazana nini?
 
Mfano mtu anaingiza tsh 1m per day afu akienda bar ananywa wine ya 50,000, wewe unaingiza tsh. 5000 per day unaenda bar unajunywa barimi mbili 3400. Afu wewe muingiza buku dala kwa sikubunamuoa muingiza milioni anatumia pesa vibaya wakati kiuhalisia wewe muingiza buku dala ndo mtumiaji mbovu wa pesa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe mwenye "fyucha" za miaka hamsini tuoneshe vitega uchumi vyako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…