Ncherry1
JF-Expert Member
- Jun 15, 2016
- 2,181
- 2,250
Unaafaa kua mpambe wa ccmUnajua Michale Jordan ana utajiri wa kiasi gani na Floyd ana utajiri wa kiasi gani?
Unajua kuna kiasi gani cha pesa kimewekwa kwa ajili ya rematch kati yake na Canelo?
Unajua kwamba Canelo ndiye boxer anayelipwa pesa nyingi zaidi kwa sasa ukimtoa Floyd Mayweather????
Unajua ni kiasi gani cha pesa anachotumia Floyd kwa ajili ya starehe???
Sent using Jamii Forums mobile app