Ndege ya tano kumiliki Floyd Sinclair Joy Mayweather Jr.

Ndege ya tano kumiliki Floyd Sinclair Joy Mayweather Jr.

Unajua Michale Jordan ana utajiri wa kiasi gani na Floyd ana utajiri wa kiasi gani?

Unajua kuna kiasi gani cha pesa kimewekwa kwa ajili ya rematch kati yake na Canelo?

Unajua kwamba Canelo ndiye boxer anayelipwa pesa nyingi zaidi kwa sasa ukimtoa Floyd Mayweather????


Unajua ni kiasi gani cha pesa anachotumia Floyd kwa ajili ya starehe???
Unaafaa kua mpambe wa ccm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siongei vitu juu juu bali ninaongea kutokana na uhalisia.

Floyd akikubali kurudi tena ulingoni kwa ajili
ya rematch kati yake na Canelo atakuwa mbali sana na lazima aingize kiasi kikubwa sana kupitia PPV.
Uhalisia anaujua mwenyewe Floyd bana.wewe kajambe Nani hapo mwananyamala unakazana nini?
 
Mfano mtu anaingiza tsh 1m per day afu akienda bar ananywa wine ya 50,000, wewe unaingiza tsh. 5000 per day unaenda bar unajunywa barimi mbili 3400. Afu wewe muingiza buku dala kwa sikubunamuoa muingiza milioni anatumia pesa vibaya wakati kiuhalisia wewe muingiza buku dala ndo mtumiaji mbovu wa pesa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah afu kweli ..maaa mtu kama biligate sidhani kama ana ndege hata mbili za kufanya anasa..

Ila ndio tatizo la watu weusi wa marekani ..hawanaga future za miaka hamsin au sitini badae ivi...

Wakishika mipunga ni kuwaza ngono, kubadilisha magari..

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe mwenye "fyucha" za miaka hamsini tuoneshe vitega uchumi vyako.
 
Back
Top Bottom