Niwatetee mimi kuku?Na hao DP World wa bandari unaowatetea leo, siku moja utaisema serikali kwa haya maamuzi ya leo. Utakuwa kama Nchemba na ile kauli yake ya SADIST MIND
Magufuli alikua tatizo..kubaliwale ECO wahuni dah, yaani ile ardhi si ajabu waliipata bure au ECO yenyewe ni mali ya yule msela wa Saigon na ilikuwa part and parcel ya zile project zake za kuicolonize Tanganyika to his saigon empire.
Ukipeleka nyingine wanazuwia Tena,mpaka umalize deni lenye riba kila sikuHivi ndege yenyewe ni ya $91.5m sawa na pesa ya madafu 210B za madafu si bora wangekaacha tu kuliko kutoa yote 400B?
Au wameshindwa kubageini wamlipe kidogo kidogo?
Wanasheria wetu watakuwa wamepiga 10% yao
Wote ni wale wale tu, tofauti tu ni kwamba JPM aliingia mkataba kwa Siri tu. Mfano mikataba ya manunuzi ya SGR tulilazimishwa financier ambaye ana charge riba kubwa. In fact ripoti ya CAG ilisema tulilipa gharama kubwa zaidi maana tulilipa kwa rate ya juu tofauti na makubaliano.Mkataba alioingia Kikwete akaja kuuvunja Magufuli, then huyo Kikwete think tank wa Samia tunaona mwanafunzi wake akitutoa sadaka kwa waarabu milele..
Naaimini kabisa huo mkataba ulikuwa wa kinyonyaji kwa watanganyika kwa sababu Magufuli hakuwa na tabia za Kikwete na Samia, hao wawili ni waswahili selfish sana.
Kesi za madai duniani kote unaweza kuingia makubaliano kulipa kwa awamuUkipeleka nyingine wanazuwia Tena,mpaka umalize deni lenye riba kila siku
Iko siku watajibu mashitaka,kama si yeye basi kizazi chakewale ECO wahuni dah, yaani ile ardhi si ajabu waliipata bure au ECO yenyewe ni mali ya yule msela wa Saigon na ilikuwa part and parcel ya zile project zake za kuicolonize Tanganyika to his saigon empire.
Umnyang'anye wewe mtu shamba umpe Bakhresa halafu useme kasababisha Mkapa na Kikwete?Hiyo ni migogoro iliyosabanishwa na mkapa na kikwete
Ni matokeo ya kuingia mikataba mibovu kama wa DP World tukiwa usingizini; tunapoamka na kugundua tumeliwa tukasema tujinasua, basi wanakamata ndege zetu. Waliongia mikataba mibovu ilyovunjwa na Magufuli wanatakiwa wadaiwe pesa hizo.By MMM
Watu wamepiga kelele kutaka kujua ndege imeachiwa kwa masharti yapi. Leo MMM ametutonya kama ilivyo hapo juu Walitaka walipwe US&500M (1.2 Trillion) wamelipwa 403 Bn Tsh.
Magufuli kwa ubabe alivunja mkataba na EcoEnergy ulioingiwa na Kikwete.
cae no. ICSID No. ARB/17/33
Serikali ya Samia imelipa.
Zingelijenga shule ngapi?
Dawa kiasi gani?
Mikopo ya wanafunzi kiasi gani?
Hakuna details za malipo. Hizi ni habari za mtandao tu, itakuwa kuna muafaka wameafikiano.Hivi ndege yenyewe ni ya $91.5m sawa na pesa ya madafu 210B za madafu si bora wangekaacha tu kuliko kutoa yote 400B?
Au wameshindwa kubageini wamlipe kidogo kidogo?
Wanasheria wetu watakuwa wamepiga 10% yao
Jinga, tozo kiasi gani na kodi kiasi gani zimeshindwa kujenga shule, mikopo kwa wanafunzi na madawa hospitalini. Acha siasa za maji taka.By MMM
Watu wamepiga kelele kutaka kujua ndege imeachiwa kwa masharti yapi. Leo MMM ametutonya kama ilivyo hapo juu Walitaka walipwe US&500M (1.2 Trillion) wamelipwa 403 Bn Tsh.
Magufuli kwa ubabe alivunja mkataba na EcoEnergy ulioingiwa na Kikwete.
cae no. ICSID No. ARB/17/33
Serikali ya Samia imelipa.
Zingelijenga shule ngapi?
Dawa kiasi gani?
Mikopo ya wanafunzi kiasi gani?
JK anafaa kunyongwa hadharani kwa faida ya vizazi vijavyo.Ni matokeo ya kuingia mikataba mibovu kama wa DP World tukiwa usingizini; tunapoamka na kugundua tumeliwa tukasema tujinasea, basi wanakamata ndege zetu. Waliongia mikataba mibovu ilyovunjwa na Magufuli wanatakiwa wadaiwe pesa hizo.
Sasa ndiyo tukubali matokeo. Tuilee mimba ya makalio, unafikiri anazilipa nani hizo kama siyo na wewe?Huyo bwana atakua aliwachoma na majiti kwenye kinyeo
Ukiona hivyo ujiuwe hao ni mijikondoo iliyokosa mchungaji.Mimi nikisema magufuri alikuwa na matatizo ya kufikili kuna watu humu huwa wanachukia sana ...lakini huo ndio ukweli
[emoji38] [emoji23] [emoji38] [emoji23]Huyo bwana atakua aliwachoma na majiti kwenye kinyeo
Bonge moja la tapeli, halafu halitaki kustaafu kabisa
Kwanza mtu mwenyewe alipewa eneo ambalo lilikuwa ni makazi ya watu tayari hakulipa fidia sahihi; na hakuna la maana zaidi ya empty promises.
Japo kapewa hector 20,000 tena kwa lease ya miaka 99 yeye mwenyewe hakuwa na mpango wa kulima bali kukodisha maeneo hayo kwa wakulima wadogo wamlimie watu ambao anataka kuwatoa.
Baadhi ya donors waliojitokeza kufadhili hu mpango wa ku support G8 farming in Africa walishaanza kujitoa baada ya kuona utekelezaji una minajili ya land grabbing kuliko kuwasaidia wenyeji.
Huyo mzungu kapata hizo hela kupitia nchi wafadhili wa huo mradi kabla ya kujitoa, ni mambo ya wapiga deal wazungu huwa wanatafuta projects ambazo nchi zao zina policy ya kusaidia. Wakishapata hela wanakuja Africa wanajifanya wanaweka weka tu mambo kidogo (boshen) waonekane wanafanya kitu ili wapate hizo funds.
Ukienda Bagamoyo kabla ya kunyan’ganywa ukuti ata uwekezaji wenye thamani ya dollar 5 let alone $50 million anazodai, hizo ajira elfu 30,000 anazodai angetengeneza mpaka anaondolewa ata 100 si ajabu ajafikisha.
Haya ndio mambo yaliyokuwa yakifanyika enzi za J.K, ajabu kwenye kichwa chake anaamini alikuwa zinga moja la president.