Ndege ya Tanzania iliyokuwa imeshikiliwa Uholanzi yaachiliwa kwa kuilipa Eco Energy US$ 165M (403bn Tsh)

Ndege ya Tanzania iliyokuwa imeshikiliwa Uholanzi yaachiliwa kwa kuilipa Eco Energy US$ 165M (403bn Tsh)

Na hao DP World wa bandari unaowatetea leo, siku moja utaisema serikali kwa haya maamuzi ya leo. Utakuwa kama Nchemba na ile kauli yake ya SADIST MIND
Niwatetee mimi kuku?

DP World na mikataba ya mashamba ni vitu viwili tofauti.
Dp World na kukamata meli ya mtu baharini ni vitu viwili tofauti.

Kumbuka hayo.

Leo baadae ntakuwekea sababu za watu kuipinga DP World na ni kina nanai utaaamua wewe unafata mkumbo kama kondoo aliyekosa mchungaji.
 
wale ECO wahuni dah, yaani ile ardhi si ajabu waliipata bure au ECO yenyewe ni mali ya yule msela wa Saigon na ilikuwa part and parcel ya zile project zake za kuicolonize Tanganyika to his saigon empire.
Magufuli alikua tatizo..kubali
 
Hivi ndege yenyewe ni ya $91.5m sawa na pesa ya madafu 210B za madafu si bora wangekaacha tu kuliko kutoa yote 400B?
Au wameshindwa kubageini wamlipe kidogo kidogo?

Wanasheria wetu watakuwa wamepiga 10% yao
Ukipeleka nyingine wanazuwia Tena,mpaka umalize deni lenye riba kila siku
 
Mkataba alioingia Kikwete akaja kuuvunja Magufuli, then huyo Kikwete think tank wa Samia tunaona mwanafunzi wake akitutoa sadaka kwa waarabu milele..

Naaimini kabisa huo mkataba ulikuwa wa kinyonyaji kwa watanganyika kwa sababu Magufuli hakuwa na tabia za Kikwete na Samia, hao wawili ni waswahili selfish sana.
Wote ni wale wale tu, tofauti tu ni kwamba JPM aliingia mkataba kwa Siri tu. Mfano mikataba ya manunuzi ya SGR tulilazimishwa financier ambaye ana charge riba kubwa. In fact ripoti ya CAG ilisema tulilipa gharama kubwa zaidi maana tulilipa kwa rate ya juu tofauti na makubaliano.

So serikali zote za CCM ni za kifisadi tu hakuna mwenye unafuu tofauti ni leakage ya taarifa tu.
 
wale ECO wahuni dah, yaani ile ardhi si ajabu waliipata bure au ECO yenyewe ni mali ya yule msela wa Saigon na ilikuwa part and parcel ya zile project zake za kuicolonize Tanganyika to his saigon empire.
Iko siku watajibu mashitaka,kama si yeye basi kizazi chake
 
Hiyo ni migogoro iliyosabanishwa na mkapa na kikwete
Umnyang'anye wewe mtu shamba umpe Bakhresa halafu useme kasababisha Mkapa na Kikwete?

Na meli ya uvuvi aliikamata nani?

Jamaa alilewa madaraka mapema mno.
 
By MMM

Watu wamepiga kelele kutaka kujua ndege imeachiwa kwa masharti yapi. Leo MMM ametutonya kama ilivyo hapo juu Walitaka walipwe US&500M (1.2 Trillion) wamelipwa 403 Bn Tsh.
Magufuli kwa ubabe alivunja mkataba na EcoEnergy ulioingiwa na Kikwete.
cae no. ICSID No. ARB/17/33

Serikali ya Samia imelipa.
Zingelijenga shule ngapi?
Dawa kiasi gani?
Mikopo ya wanafunzi kiasi gani?
Ni matokeo ya kuingia mikataba mibovu kama wa DP World tukiwa usingizini; tunapoamka na kugundua tumeliwa tukasema tujinasua, basi wanakamata ndege zetu. Waliongia mikataba mibovu ilyovunjwa na Magufuli wanatakiwa wadaiwe pesa hizo.
 
Amesababisha hasara kubwa sana Kwa nchi hii.
 
Hivi ndege yenyewe ni ya $91.5m sawa na pesa ya madafu 210B za madafu si bora wangekaacha tu kuliko kutoa yote 400B?
Au wameshindwa kubageini wamlipe kidogo kidogo?

Wanasheria wetu watakuwa wamepiga 10% yao
Hakuna details za malipo. Hizi ni habari za mtandao tu, itakuwa kuna muafaka wameafikiano.
 
By MMM

Watu wamepiga kelele kutaka kujua ndege imeachiwa kwa masharti yapi. Leo MMM ametutonya kama ilivyo hapo juu Walitaka walipwe US&500M (1.2 Trillion) wamelipwa 403 Bn Tsh.
Magufuli kwa ubabe alivunja mkataba na EcoEnergy ulioingiwa na Kikwete.
cae no. ICSID No. ARB/17/33

Serikali ya Samia imelipa.
Zingelijenga shule ngapi?
Dawa kiasi gani?
Mikopo ya wanafunzi kiasi gani?
Jinga, tozo kiasi gani na kodi kiasi gani zimeshindwa kujenga shule, mikopo kwa wanafunzi na madawa hospitalini. Acha siasa za maji taka.
 
Ni matokeo ya kuingia mikataba mibovu kama wa DP World tukiwa usingizini; tunapoamka na kugundua tumeliwa tukasema tujinasea, basi wanakamata ndege zetu. Waliongia mikataba mibovu ilyovunjwa na Magufuli wanatakiwa wadaiwe pesa hizo.
JK anafaa kunyongwa hadharani kwa faida ya vizazi vijavyo.

Na gesi mikataba yake inatakiwa ifuatiliwe
 
Kwanza mtu mwenyewe alipewa eneo ambalo lilikuwa ni makazi ya watu tayari hakulipa fidia sahihi; na hakuna la maana zaidi ya empty promises.

Japo kapewa hector 20,000 tena kwa lease ya miaka 99 yeye mwenyewe hakuwa na mpango wa kulima bali kukodisha maeneo hayo kwa wakulima wadogo wamlimie watu ambao anataka kuwatoa.

Baadhi ya donors waliojitokeza kufadhili hu mpango wa ku support G8 farming in Africa walishaanza kujitoa baada ya kuona utekelezaji una minajili ya land grabbing kuliko kuwasaidia wenyeji.

Huyo mzungu kapata hizo hela kupitia nchi wafadhili ☝️wa huo mradi wa G8 farming kabla ya baadhi ya nchi kujitoa. Ni mambo ya wapiga deal wakizungu huwa wanatafuta projects ambazo nchi zao zina policy ya kusaidia. Wakishapata hela wanakuja Africa wanajifanya wanaweka weka tu mambo kidogo (boshen) waonekane wanafanya kitu ili wapate hizo funds zaidi.

Ukienda Bagamoyo kabla ya kunyan’ganywa ukuti ata uwekezaji wenye thamani ya $5million let alone $50 million anazodai aliwekeza and potential loss of millions dollars (hewa). Hizo ajira elfu 30,000 anazodai angetengeneza mpaka anaondolewa ata 100 si ajabu ajafikisha.

Haya ndio mambo yaliyokuwa yakifanyika enzi za J.K, ajabu kwenye kichwa chake anaamini alikuwa zinga moja la president.

Personal huwa nachukizwa sana unapokutana na mapoyoyo ya kitanzania yanayo side na wawekezaji matapeli kama kama hao.

Bado yule wa Mtwara na yeye sijui atazawadiwa nini huko arbitration.
 
Halafu leo eti uingereza inatoa msaada wa 15b kuipa tz, kumbe tunaouwezo wa kutoa 400b,aisee! Bongo inafurahisha mno.......
 
Mimi nikisema magufuri alikuwa na matatizo ya kufikili kuna watu humu huwa wanachukia sana ...lakini huo ndio ukweli
Ukiona hivyo ujiuwe hao ni mijikondoo iliyokosa mchungaji.

Katutia kwenye matatizo mengi hayasemwi tu.
 
Huyo bwana atakua aliwachoma na majiti kwenye kinyeo
[emoji38] [emoji23] [emoji38] [emoji23]
Akapitia na za exchange
Dunia mapito ishi kwa amani acha matusi dogo
Ana mazuri yake na mabaya yake na lazima yasemwe

Leta uzi wa Corona kama sijamsifia
 
Kwanza mtu mwenyewe alipewa eneo ambalo lilikuwa ni makazi ya watu tayari hakulipa fidia sahihi; na hakuna la maana zaidi ya empty promises.

Japo kapewa hector 20,000 tena kwa lease ya miaka 99 yeye mwenyewe hakuwa na mpango wa kulima bali kukodisha maeneo hayo kwa wakulima wadogo wamlimie watu ambao anataka kuwatoa.

Baadhi ya donors waliojitokeza kufadhili hu mpango wa ku support G8 farming in Africa walishaanza kujitoa baada ya kuona utekelezaji una minajili ya land grabbing kuliko kuwasaidia wenyeji.

Huyo mzungu kapata hizo hela kupitia nchi wafadhili wa huo mradi kabla ya kujitoa, ni mambo ya wapiga deal wazungu huwa wanatafuta projects ambazo nchi zao zina policy ya kusaidia. Wakishapata hela wanakuja Africa wanajifanya wanaweka weka tu mambo kidogo (boshen) waonekane wanafanya kitu ili wapate hizo funds.

Ukienda Bagamoyo kabla ya kunyan’ganywa ukuti ata uwekezaji wenye thamani ya dollar 5 let alone $50 million anazodai, hizo ajira elfu 30,000 anazodai angetengeneza mpaka anaondolewa ata 100 si ajabu ajafikisha.

Haya ndio mambo yaliyokuwa yakifanyika enzi za J.K, ajabu kwenye kichwa chake anaamini alikuwa zinga moja la president.
Bonge moja la tapeli, halafu halitaki kustaafu kabisa
 
Back
Top Bottom