Sahihi KabisaMzee wetu JPM nakubali san kutengeneza mfumo wa kiutendaji na kutaka mikataba yenye maslahi! But kweny fungu hili la kuvunja mikataba kibabe ali fail!! Cz madhara ya kuvunja mikataba kibabe ni hii payback!!!! Na haya LISSU alisimama kupinga uvunjwaji wa mikataba kienyeji lkn walinda legacy wakaishia kumuita LISSU mtetea mabeberu!!!!
Hivi unafikiri ni nani analipa kama siyo na wewe?Muendelee kulipa huku mkiendekea na kuingia mikataba ya ovyo
Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
Hawakumbuki maneno ya Kikwete, "kula uliwe".Hilo halikuwa deni bali ujinga wa kujifanya ujuaji!
Tatizo usiri unaotia shaka, inatoa nafasi ya watu kutunga uongo.Hakuna details za malipo. Hizi ni habari za mtandao tu, itakuwa kuna muafaka wameafikiano.
Upo ndotoni wewe...Msiwe wepesi kupinga uwekezaji wa bandarini. DPW akianza kazi mahali pale kwa mwaka mmoja TRA inakwenda kuingiza trilioni 26 kama kodi ya serikali.
Magufuli alikuwa hasara ya Taifa hili.By MMM
Watu wamepiga kelele kutaka kujua ndege imeachiwa kwa masharti yapi. Leo MMM ametutonya kama ilivyo hapo juu Walitaka walipwe US&500M (1.2 Trillion) wamelipwa 403 Bn Tsh.
Magufuli kwa ubabe alivunja mkataba na EcoEnergy ulioingiwa na Kikwete.
cae no. ICSID No. ARB/17/33
Serikali ya Samia imelipa.
Zingelijenga shule ngapi?
Dawa kiasi gani?
Mikopo ya wanafunzi kiasi gani?
Anachanganya watanzania wengi tunampenda kwa sababu ni social na good citizens kwenye mambo ya jamii (community issues) kama harusi, misiba, ku support local programmes ndogo ndogo ambazo viongozi wengine wa hadhi yake awatilii maanani.Bonge moja la tapeli, halafu halitaki kustaafu kabisa
Hakuna usiri, Tusubiri, serikali watatowa tamko.Tatizo usiri unaotia shaka, inatoa nafasi ya watu kutunga uongo.
Lakini nyie ccm mna undugu na shetani kabisa
Ndoto nzuri ya Bill Gates ndio iliyomtajirisha mpaka dunia nzima ikamfahamu.Upo ndotoni wewe...
Kaanzieni Chatokuna siku itafika watanzania wataenda kufukua makaburi ya watu waliotusababishia matatizo na kwenda kuyazika gerezani. time will tell.
Wewe una akili, wapumbavu ndio hiyo misaada ndio wanamuona bonge la kiongozi.Anachanganya watanzania wengi tunampenda kwa sababu ni social na good citizens kwenye mambo ya jamii (community issues) kama harusi, misiba, ku support local programmes ndogo ndogo ambazo viongozi wengine wa hadhi yake awatilii maanani.
Lakini aina maana kama kiongozi wa nchi alifanya kazi nzuri alikuwa raisi mmbovu mno; he will be doing us a lot of favour akijificha huko Msoga and no one will miss him.
Endelea na usingizi wa pono, ukiamka ufahamu utakurudiaNdoto nzuri ya Bill Gates ndio iliyomtajirisha mpaka dunia nzima ikamfahamu.
Ndoto nzuri ya Dangote ndio iliyomtajirisha mpaka mimi na wewe tunamjua.
Ndoto nzuri ya serikali katika uwekezaji wa DP ndiyo itakayokuja kuinua pesa ya TRA baada ya shughuli kuanza kufanyika.
165$ million lakini kwa uhanithi wa mwendazake wakajifanya wajuaji na kuchukua karatasi ya hukumu na kufungia vitumbua hawakujua kwamba kuanjia kesi ilipoanza hadi kufikia kukamatwa ndege kulikuwa na riba ya asilimia 2 kila mwezi kwa hiyo piga hesabu utaelewa vizuri kwamba mchuma janga hula na wakwaoKwa hiyo tunadaiwa bilion700 na ushee!!!
===
Ukumu ilisema walipwe shilingi ngapi?
Endelea kuwa na akili hasi ndio unavyozama kwenye umaskini wa milele.Endelea na usingizi wa pono, ukiamka ufahamu utakurudia
Bahati nzuri hakuna mwanadamu anayezikwa na helaBy MMM
Watu wamepiga kelele kutaka kujua ndege imeachiwa kwa masharti yapi. Leo MMM ametutonya kama ilivyo hapo juu Walitaka walipwe US&500M (1.2 Trillion) wamelipwa 403 Bn Tsh.
Magufuli kwa ubabe alivunja mkataba na EcoEnergy ulioingiwa na Kikwete.
cae no. ICSID No. ARB/17/33
Serikali ya Samia imelipa.
Zingelijenga shule ngapi?
Dawa kiasi gani?
Mikopo ya wanafunzi kiasi gani?
Hata tungesamehe hiyo isingetosha kulipia deni wangekamata nyingine na nyingine ili kulipia Yono mkamataji na alipaki na Mawakili nakafhalika nakafhalikaUlitaka tusamehe ndege au tudhulumu?
Lazima viongozi kutoka upande ule wajifundishe kuheshimu mikataba,
Ubabe fanyia nyumbani kwako
Na riba juuHata tungesamehe hiyo isingetosha kulipia deni wangekamata nyingine na nyingine ili kulipia Yono mkamataji na alipaki na Mawakili nakafhalika nakafhalika