Ndege ya Tanzania iliyokuwa imeshikiliwa Uholanzi yaachiliwa kwa kuilipa Eco Energy US$ 165M (403bn Tsh)

Ndege ya Tanzania iliyokuwa imeshikiliwa Uholanzi yaachiliwa kwa kuilipa Eco Energy US$ 165M (403bn Tsh)

Mzee wetu JPM nakubali san kutengeneza mfumo wa kiutendaji na kutaka mikataba yenye maslahi! But kweny fungu hili la kuvunja mikataba kibabe ali fail!! Cz madhara ya kuvunja mikataba kibabe ni hii payback!!!! Na haya LISSU alisimama kupinga uvunjwaji wa mikataba kienyeji lkn walinda legacy wakaishia kumuita LISSU mtetea mabeberu!!!!
Sahihi Kabisa
 
Mnawalipa waachie ndege inayokuja kujiendesha kwa hasara?

Kuna kiongozi wa dini alishauri kwenye hili la DP World serikali isajili kampuni itakayoingia huo mkataba kwa niaba ya serikali kuepuka hii kadhia huko mbeleni.
 
Hakuna details za malipo. Hizi ni habari za mtandao tu, itakuwa kuna muafaka wameafikiano.
Tatizo usiri unaotia shaka, inatoa nafasi ya watu kutunga uongo.
Lakini nyie ccm mna undugu na shetani kabisa
 
By MMM

Watu wamepiga kelele kutaka kujua ndege imeachiwa kwa masharti yapi. Leo MMM ametutonya kama ilivyo hapo juu Walitaka walipwe US&500M (1.2 Trillion) wamelipwa 403 Bn Tsh.
Magufuli kwa ubabe alivunja mkataba na EcoEnergy ulioingiwa na Kikwete.
cae no. ICSID No. ARB/17/33

Serikali ya Samia imelipa.
Zingelijenga shule ngapi?
Dawa kiasi gani?
Mikopo ya wanafunzi kiasi gani?
Magufuli alikuwa hasara ya Taifa hili.
 
Thamani ya hiyo ndege ni kiasi gani?
Maana usikute unafanyika ule mchezo wa kuuza ng'ombe ili kuendeshea kesi ya kuku
 
Bonge moja la tapeli, halafu halitaki kustaafu kabisa
Anachanganya watanzania wengi tunampenda kwa sababu ni social na good citizens kwenye mambo ya jamii (community issues) kama harusi, misiba, ku support local programmes ndogo ndogo ambazo viongozi wengine wa hadhi yake awatilii maanani.

Lakini aina maana kama kiongozi wa nchi alifanya kazi nzuri alikuwa raisi mmbovu mno; he will be doing us a lot of favour akijificha huko Msoga and no one will miss him.
 
Kama kweli tumelipa basi ni pound mil. 40 walizodai sio vinginevyo na isitoshe nimetafuta hukumu ya kesi hii sijaona majibu kama alosema mleta mada hii.

Naomba atuwekee nakala ya hukumu hapa.
 
Upo ndotoni wewe...
Ndoto nzuri ya Bill Gates ndio iliyomtajirisha mpaka dunia nzima ikamfahamu.

Ndoto nzuri ya Dangote ndio iliyomtajirisha mpaka mimi na wewe tunamjua.

Ndoto nzuri ya serikali katika uwekezaji wa DP ndiyo itakayokuja kuinua pesa ya TRA baada ya shughuli kuanza kufanyika.
 
Anachanganya watanzania wengi tunampenda kwa sababu ni social na good citizens kwenye mambo ya jamii (community issues) kama harusi, misiba, ku support local programmes ndogo ndogo ambazo viongozi wengine wa hadhi yake awatilii maanani.

Lakini aina maana kama kiongozi wa nchi alifanya kazi nzuri alikuwa raisi mmbovu mno; he will be doing us a lot of favour akijificha huko Msoga and no one will miss him.
Wewe una akili, wapumbavu ndio hiyo misaada ndio wanamuona bonge la kiongozi.

Ukweli ni kwamba ni BONGE LA SHETANI
 
Ndoto nzuri ya Bill Gates ndio iliyomtajirisha mpaka dunia nzima ikamfahamu.

Ndoto nzuri ya Dangote ndio iliyomtajirisha mpaka mimi na wewe tunamjua.

Ndoto nzuri ya serikali katika uwekezaji wa DP ndiyo itakayokuja kuinua pesa ya TRA baada ya shughuli kuanza kufanyika.
Endelea na usingizi wa pono, ukiamka ufahamu utakurudia
 
Kwa hiyo tunadaiwa bilion700 na ushee!!!
===
Ukumu ilisema walipwe shilingi ngapi?
165$ million lakini kwa uhanithi wa mwendazake wakajifanya wajuaji na kuchukua karatasi ya hukumu na kufungia vitumbua hawakujua kwamba kuanjia kesi ilipoanza hadi kufikia kukamatwa ndege kulikuwa na riba ya asilimia 2 kila mwezi kwa hiyo piga hesabu utaelewa vizuri kwamba mchuma janga hula na wakwao
 
By MMM

Watu wamepiga kelele kutaka kujua ndege imeachiwa kwa masharti yapi. Leo MMM ametutonya kama ilivyo hapo juu Walitaka walipwe US&500M (1.2 Trillion) wamelipwa 403 Bn Tsh.
Magufuli kwa ubabe alivunja mkataba na EcoEnergy ulioingiwa na Kikwete.
cae no. ICSID No. ARB/17/33

Serikali ya Samia imelipa.
Zingelijenga shule ngapi?
Dawa kiasi gani?
Mikopo ya wanafunzi kiasi gani?
Bahati nzuri hakuna mwanadamu anayezikwa na hela
 
Ulitaka tusamehe ndege au tudhulumu?
Lazima viongozi kutoka upande ule wajifundishe kuheshimu mikataba,
Ubabe fanyia nyumbani kwako
Hata tungesamehe hiyo isingetosha kulipia deni wangekamata nyingine na nyingine ili kulipia Yono mkamataji na alipaki na Mawakili nakafhalika nakafhalika
 
Back
Top Bottom