Ndege ya Tanzania iliyokuwa imeshikiliwa Uholanzi yaachiliwa kwa kuilipa Eco Energy US$ 165M (403bn Tsh)

Ukiona hivyo ujiuwe hao ni mijikondoo iliyokosa mchungaji.

Katutia kwenye matatizo mengi hayasemwi tu.

Lakini angalau aliwaletea Samia wenu, tena mara mbili ya kwanza 2015 na ya pili 2015 au bado haitoshi kumshukuru hata kidogo tu kwa kuwaletea Tamaa ?
 
Sasa ndiyo tukubali matokeo. Tuilee mimba ya makalio, unafikiri anazilipa nani hizo kama siyo na wewe?
Hiyo ardhi alipewa Azam live na Magufuli kwa hiyo wakulipa ni Azam sio walipakodi ndio haki bin haki
 
Bb kizee acha kututisha kwahyo Ni mambo kudaka Mali zetu

Hata mm nikikamatwa huko uturuki nashikiliwa
 
Ukija kujua wamelipwa 150 bn tu zingine zimekwenda kwa mfuko utachoka.
Hawa jamaa hawaaminiki kabisa
 
Waliongia hii mikataba ndio wabaya hasa , Kuna watu Wana hulka za easy giving, hawajui Ile kanuni ya pokea kwa haraka ila usitoe kwa haraka

Atalaumiwa magufuli wakati mikataba mingi mibovu na yahovyo aliingia kikwete nchi hii ngumu sana na kuna mikataba ikifumuliwa utashangaa jk ikulu alienda kufanya nini?
 
Kwa hiyo umeksirika wamelipwa?
Ni ujinga kiasi fulani.
Tukidaiwa mnachekelea kama hamna akili nzuri, tukilipa tunachodaiwa mna laumu, sasa mnataka iweje?
 
Reactions: Cyb
Huu ulikuwa ujinga wa kikwete kuingia mikataba ya kimangungo na Samia anaiendeleza
 
Huko ni kujidanganya, lakini siwashangai. Ukishagongw na nyoka hata unyasi utauogopa.


Mshagongwa sana na nyoka. Ndiyo maana mama kawafata wajomba zake, anajuwa hao ni watu wa sharia. Hawana longolongo.
 

Attachments

  • 20230710_163423.jpg
    115.6 KB · Views: 2
Ulitaka tusamehe ndege au tudhulumu?
Lazima viongozi kutoka upande ule wajifundishe kuheshimu mikataba,
Ubabe fanyia nyumbani kwako
Na viongozi wa upande ule pia waache ujuha wa kuliingiza taifa kwenye mikataba ya kimangungo
 
Ujinga wao wa kusaini mikataba ya hovyo enzi ya Mkwere ndio inatutesa sisi walala hoi kwa kutozwa kodi kila sehemu ili walipe fidia hizo kwa mabwana zao!
 
Leo umefikiria kienyeji Sana mkuu
Kwanza ndege yenyewe haitengebezi faida, kila mara tunaambiwa wanaingiza hasara, si bora lichukuliwe tu kulikoni kuondoa 402B kwenye mzunguko w pesa nchini?

Unafikiri kulipa pesa nyingi kama hiyo haitaathiri mzunguko wa pesa nchini?
 
Hiyo pesa iliyolipwa ilikuwa unapata ndege za aina hiyo hiyo 4 kutoka kiwandani. Naona tulicholipa ni kufuta aibu kama Taifa na sio kuikomboa ndege...

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…