Ndege ya Tanzania iliyokuwa imeshikiliwa Uholanzi yaachiliwa kwa kuilipa Eco Energy US$ 165M (403bn Tsh)

Ndege ya Tanzania iliyokuwa imeshikiliwa Uholanzi yaachiliwa kwa kuilipa Eco Energy US$ 165M (403bn Tsh)

Mzee wetu JPM nakubali san kutengeneza mfumo wa kiutendaji na kutaka mikataba yenye maslahi! But kweny fungu hili la kuvunja mikataba kibabe ali fail!! Cz madhara ya kuvunja mikataba kibabe ni hii payback!!!! Na haya LISSU alisimama kupinga uvunjwaji wa mikataba kienyeji lkn walinda legacy wakaishia kumuita LISSU mtetea mabeberu!!!!
Hii ni MIGA?
 
By MMM

Watu wamepiga kelele kutaka kujua ndege imeachiwa kwa masharti yapi. Leo MMM ametutonya kama ilivyo hapo juu Walitaka walipwe US&500M (1.2 Trillion) wamelipwa 403 Bn Tsh.
Magufuli kwa ubabe alivunja mkataba na EcoEnergy ulioingiwa na Kikwete.
cae no. ICSID No. ARB/17/33

Serikali ya Samia imelipa.
Zingelijenga shule ngapi?
Dawa kiasi gani?
Mikopo ya wanafunzi kiasi gani?
Hiyo ndege ina thamani gani?
Kama thamani yake ni ndogo si wangeiacha tu? Aaah
 
Na wao DP World kupitia mkataba mbovu sijui watadai kiasi gani
 
Vile kafura baada ya mleta uzi kutoboa siri👇😁😁😁
 
Dawa ya deni kulipa.

Huwezi kukaribisha wawekezaji wakija kuwekeza halafu uwaambie "sitaki", lazima ile kwako kwa makubaliano ya Umoja wa Mataifa.

Moja ilishikwa Canada - tukalipa.
Nyingne ikashikwa Afrika Kusini - tukalipa.
Hiyo umeshikwa Uholanzi- tumelipa.

Tuliishika meli ya samaki, tukagawana samaki - tumelipa samaki, na meli na muda wote iliyokuwa imekaa kesi inaendelea.

Tuliowapora mali zao tukawalipisha "plea bargain" tumewalipa na bado tunaendelea kuwalipa.

WOTE HUO UJINGA WA MTU MMOJA, NA BADO MADUDU YATAENDELEA KUFUMUKA.
Mimi nikisema magufuri alikuwa na matatizo ya kufikili kuna watu humu huwa wanachukia sana ...lakini huo ndio ukweli
 
Dawa ya deni kulipa.

Huwezi kukaribisha wawekezaji wakija kuwekeza halafu uwaambie "sitaki", lazima ile kwako kwa makubaliano ya Umoja wa Mataifa.

Moja ilishikwa Canada - tukalipa.
Nyingne ikashikwa Afrika Kusini - tukalipa.
Hiyo umeshikwa Uholanzi- tumelipa.

Tuliishika meli ya samaki, tukagawana samaki - tumelipa samaki, na meli na muda wote iliyokuwa imekaa kesi inaendelea.

Tuliowapora mali zao tukawalipisha "plea bargain" tumewalipa na bado tunaendelea kuwalipa.

WOTE HUO UJINGA WA MTU MMOJA, NA BADO MADUDU YATAENDELEA KUFUMUKA.
Unapokataa ushauri na kujifanya kila kitu unajua ndio madhara yake hayo sasa

Tatizo kiongozi anakuwa mungu mtu only in Africa

Jitu linachukia matajiri
Huyo bwana atakua aliwachoma na majiti kwenye kinyeo
 
Waliongia hii mikataba ndio wabaya hasa , Kuna watu Wana hulka za easy giving, hawajui Ile kanuni ya pokea kwa haraka ila usitoe kwa haraka
 
By MMM

Watu wamepiga kelele kutaka kujua ndege imeachiwa kwa masharti yapi. Leo MMM ametutonya kama ilivyo hapo juu Walitaka walipwe US&500M (1.2 Trillion) wamelipwa 403 Bn Tsh.
Magufuli kwa ubabe alivunja mkataba na EcoEnergy ulioingiwa na Kikwete.
cae no. ICSID No. ARB/17/33

Serikali ya Samia imelipa.
Zingelijenga shule ngapi?
Dawa kiasi gani?
Mikopo ya wanafunzi kiasi gani?
Bado wanataka tuingie kwa chatu DP World!! CCM ni mashetani!
 
By MMM

Watu wamepiga kelele kutaka kujua ndege imeachiwa kwa masharti yapi. Leo MMM ametutonya kama ilivyo hapo juu Walitaka walipwe US&500M (1.2 Trillion) wamelipwa 403 Bn Tsh.
Magufuli kwa ubabe alivunja mkataba na EcoEnergy ulioingiwa na Kikwete.
cae no. ICSID No. ARB/17/33

Serikali ya Samia imelipa.
Zingelijenga shule ngapi?
Dawa kiasi gani?
Mikopo ya wanafunzi kiasi gani?
Hiyo ndege ilienda uholanzi kufanya nini au ndo wapigadili wenyewe hao
 
Mkataba alioingia Kikwete akaja kuuvunja Magufuli, then huyo Kikwete think tank wa Samia tunaona mwanafunzi wake akitutoa sadaka kwa waarabu milele..

Naaimini kabisa huo mkataba ulikuwa wa kinyonyaji kwa watanganyika kwa sababu Magufuli hakuwa na tabia za Kikwete na Samia, hao wawili ni waswahili selfish sana.
Hivi ndege yenyewe ni ya $91.5m sawa na pesa ya madafu 210B za madafu si bora wangekaacha tu kuliko kutoa yote 400B?
Au wameshindwa kubageini wamlipe kidogo kidogo?

Wanasheria wetu watakuwa wamepiga 10% yao
 
Hii ni MIGA?
Tujitegemee tafadhali rudisha akili yako, unajua kua JPM ali surrender kwa acacia kweny suala la pesa yote na kukubali kishika uchumba ambacho sio cha Kulipwa leo wala kesho. Muulize chief negotiator Mr jalalani atakwambia, alisema waz kua kishika uchumba ilikua kanyaboya!!!
 
naona chadema wanazidi kupata hoja zaidi za kuwapiga ccm kwenye kampeni 2025.
Hakunaga ushind wa urais kupitia box la kura!! Ishi humo!!!! Mpaka ukomboz utapopatikana kupitia katiba mpya iliyobora!
 
Ulitaka tusamehe ndege au tudhulumu?
Lazima viongozi kutoka upande ule wajifundishe kuheshimu mikataba,
Ubabe fanyia nyumbani kwako
 
Dawa ya deni kulipa.

Huwezi kukaribisha wawekezaji wakija kuwekeza halafu uwaambie "sitaki", lazima ile kwako kwa makubaliano ya Umoja wa Mataifa.

Moja ilishikwa Canada - tukalipa.
Nyingne ikashikwa Afrika Kusini - tukalipa.
Hiyo umeshikwa Uholanzi- tumelipa.

Tuliishika meli ya samaki, tukagawana samaki - tumelipa samaki, na meli na muda wote iliyokuwa imekaa kesi inaendelea.

Tuliowapora mali zao tukawalipisha "plea bargain" tumewalipa na bado tunaendelea kuwalipa.

WOTE HUO UJINGA WA MTU MMOJA, NA BADO MADUDU YATAENDELEA KUFUMUKA.
Hiyo ni migogoro iliyosabanishwa na mkapa na kikwete
 
By MMM

Watu wamepiga kelele kutaka kujua ndege imeachiwa kwa masharti yapi. Leo MMM ametutonya kama ilivyo hapo juu Walitaka walipwe US&500M (1.2 Trillion) wamelipwa 403 Bn Tsh.
Magufuli kwa ubabe alivunja mkataba na EcoEnergy ulioingiwa na Kikwete.
cae no. ICSID No. ARB/17/33

Serikali ya Samia imelipa.
Zingelijenga shule ngapi?
Dawa kiasi gani?
Mikopo ya wanafunzi kiasi gani?
weka ushahidi

Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
 
wale ECO wahuni dah, yaani ile ardhi si ajabu waliipata bure au ECO yenyewe ni mali ya yule msela wa Saigon na ilikuwa part and parcel ya zile project zake za kuicolonize Tanganyika to his saigon empire.
ndiyo maana tunasema viongozi wawe makini na hii mikataba ya kibiashara tunayoingia, hata hii ya DP World kuna siku itatutokea puani.
 
Back
Top Bottom