Ndege ya Tanzania iliyokuwa imeshikiliwa Uholanzi yaachiliwa kwa kuilipa Eco Energy US$ 165M (403bn Tsh)

Ndege ya Tanzania iliyokuwa imeshikiliwa Uholanzi yaachiliwa kwa kuilipa Eco Energy US$ 165M (403bn Tsh)

By MMM

Watu wamepiga kelele kutaka kujua ndege imeachiwa kwa masharti yapi. Leo MMM ametutonya kama ilivyo hapo juu Walitaka walipwe US&500M (1.2 Trillion) wamelipwa 403 Bn Tsh.
Magufuli kwa ubabe alivunja mkataba na EcoEnergy ulioingiwa na Kikwete.
cae no. ICSID No. ARB/17/33

Serikali ya Samia imelipa.
Zingelijenga shule ngapi?
Dawa kiasi gani?
Mikopo ya wanafunzi kiasi gani?
Ni vyema kuhoji waliotufikosha huko,hata hivyo Sio sawa Serikali kutoa pesa yote hiyo bila kwenda Mahakamani kupambana
 
By MMM

Watu wamepiga kelele kutaka kujua ndege imeachiwa kwa masharti yapi. Leo MMM ametutonya kama ilivyo hapo juu Walitaka walipwe US&500M (1.2 Trillion) wamelipwa 403 Bn Tsh.
Magufuli kwa ubabe alivunja mkataba na EcoEnergy ulioingiwa na Kikwete.
cae no. ICSID No. ARB/17/33

Serikali ya Samia imelipa.
Zingelijenga shule ngapi?
Dawa kiasi gani?
Mikopo ya wanafunzi kiasi gani?
Msiwe wepesi kupinga uwekezaji wa bandarini. DPW akianza kazi mahali pale kwa mwaka mmoja TRA inakwenda kuingiza trilioni 26 kama kodi ya serikali.

Tutanunua ndege ngapi kwa pesa hizo?. Tutalipa madeni yote ya huko nje na chenji nyingi tu itabakia.
 
Mkataba alioingia Kikwete akaja kuuvunja Magufuli, then huyo Kikwete think tank wa Samia tunaona mwanafunzi wake akitutoa sadaka kwa waarabu milele..

Naaimini kabisa huo mkataba ulikuwa wa kinyonyaji kwa watanganyika kwa sababu Magufuli hakuwa na tabia za Kikwete na Samia, hao wawili ni waswahili selfish sana.
Matatizo ya kuabudu watu kuliko kusimamia misingi ya sheria ndio huzaa hoja kama za huyu mkuu.

Madhara ya kuabudu yote unayoyasikia ukiwa mjumbe wa team ya mwanasiasa fulani ndio haya.
 
Mzee wetu JPM nakubali san kutengeneza mfumo wa kiutendaji na kutaka mikataba yenye maslahi! But kweny fungu hili la kuvunja mikataba kibabe ali fail!! Cz madhara ya kuvunja mikataba kibabe ni hii payback!!!! Na haya LISSU alisimama kupinga uvunjwaji wa mikataba kienyeji lkn walinda legacy wakaishia kumuita LISSU mtetea mabeberu!!!!
Wapinzani ina watu wenye maono makubwa lisu alivyosema kipindi kile swala hili wajinga walimuita kibaraka na leo hii tena lisu anawapiga spana kuhusu mkataba wa bandari wanamuita mpotoshaji

Ccm ni kama ukoo wa panya kazi yao kubwa ni uharibifu tu
 
Ccm ndio hawapendi kuona wananchi wanaendelea kuhofia kutolewa madarakani mtu ukiwa
Chadema hawapendi kabisa kusikia bongo inapiga hatua. Huu ndo uchawi wenyewe

Msiwe wepesi kupinga uwekezaji wa bandarini. DPW akianza kazi mahali pale kwa mwaka mmoja TRA inakwenda kuingiza trilioni 26 kama kodi ya serikali.

Tutanunua ndege ngapi kwa pesa hizo?. Tutalipa madeni yote ya huko nje na chenji nyingi tu itabakia.
Hizi takataka unamletea nani huku
 
Itungwe sheria kali, ukiliingiza taifa kwenye mikataba mibovu, au ukiliibia taifa adhabu iwe kunyongwa hadharani na mali za muhusika kufilisiwa otherwise wahuni watazidi tamalaki milele.
 
By MMM

Watu wamepiga kelele kutaka kujua ndege imeachiwa kwa masharti yapi. Leo MMM ametutonya kama ilivyo hapo juu Walitaka walipwe US&500M (1.2 Trillion) wamelipwa 403 Bn Tsh.
Magufuli kwa ubabe alivunja mkataba na EcoEnergy ulioingiwa na Kikwete.
cae no. ICSID No. ARB/17/33

Serikali ya Samia imelipa.
Zingelijenga shule ngapi?
Dawa kiasi gani?
Mikopo ya wanafunzi kiasi gani?
Uongo Ukisemwa sana hugeuka Ukweli.. Agro EcoEnergy sues Tanzania after govt. cancels project due to concerns over human rights impacts - Business & Human Rights Resource Centre
 
Attachments

Dawa ya deni kulipa.

Huwezi kukaribisha wawekezaji wakija kuwekeza halafu uwaambie "sitaki", lazima ile kwako kwa makubaliano ya Umoja wa Mataifa.

Moja ilishikwa Canada - tukalipa.
Nyingne ikashikwa Afrika Kusini - tukalipa.
Hiyo umeshikwa Uholanzi- tumelipa.

Tuliishika meli ya samaki, tukagawana samaki - tumelipa samaki, na meli na muda wote iliyokuwa imekaa kesi inaendelea.

Tuliowapora mali zao tukawalipisha "plea bargain" tumewalipa na bado tunaendelea kuwalipa.

WOTE HUO UJINGA WA MTU MMOJA, NA BADO MADUDU YATAENDELEA KUFUMUKA.
Na hao DP World wa bandari unaowatetea leo, siku moja utaisema serikali kwa haya maamuzi ya leo. Utakuwa kama Nchemba na ile kauli yake ya SADIST MIND
 
🙆🙆🙆 kwan ndege yenyewe sh ngp?

Lkn hawa wanatufundisha tuache kukurupuka wanakuja kwa sura nzuri na ya upole ila wanakua na roho ngumu mno wanacho angalia n kuchukua wanacho kitaka wao.
Hii mikataba ya kimangu'ngo viongoz waachane nayo.wasiangalie matumbo yao tu.
 
By MMM

Watu wamepiga kelele kutaka kujua ndege imeachiwa kwa masharti yapi. Leo MMM ametutonya kama ilivyo hapo juu Walitaka walipwe US&500M (1.2 Trillion) wamelipwa 403 Bn Tsh.
Magufuli kwa ubabe alivunja mkataba na EcoEnergy ulioingiwa na Kikwete.
cae no. ICSID No. ARB/17/33

Serikali ya Samia imelipa.
Zingelijenga shule ngapi?
Dawa kiasi gani?
Mikopo ya wanafunzi kiasi gani?
Na bado ndio wanataka kuingia mikataba mingine ya kijuha Kama hiyo! Waliwekeza kitu gani mpaka walipwe hizo hela hakuna kitu Ila tunawalipa ndio ujue kwa Nini wananchi wanapinga mkataba wa bandari
 
Dawa ya deni kulipa.

Huwezi kukaribisha wawekezaji wakija kuwekeza halafu uwaambie "sitaki", lazima ile kwako kwa makubaliano ya Umoja wa Mataifa.

Moja ilishikwa Canada - tukalipa.
Nyingne ikashikwa Afrika Kusini - tukalipa.
Hiyo umeshikwa Uholanzi- tumelipa.

Tuliishika meli ya samaki, tukagawana samaki - tumelipa samaki, na meli na muda wote iliyokuwa imekaa kesi inaendelea.

Tuliowapora mali zao tukawalipisha "plea bargain" tumewalipa na bado tunaendelea kuwalipa.

WOTE HUO UJINGA WA MTU MMOJA, NA BADO MADUDU YATAENDELEA KUFUMUKA.
Umeandika vizuri sana.
 
Tanzania rejects ISDS
Tanzania has recently faced a wave of ISDS cases in addition to this one. It lost a case to Standard Chartered Bank over an electricity contract and was ordered to pay a massive £116m. It is being sued by Acacia Mining over gold mining, by Symbion Power also on electricity, by Biwater Gauff on water supply and by Sunlodges over another land licence.
This has brought things to a head, and in September 2018, the Tanzanian government passed a law banning ISDS. It now requires corporations to use national courts to resolve disputes instead. This will not be retroactive and so cases already underway, like Agro EcoEnergy’s, will continue.
Tanzania joins other countries around the world who are taking steps to reject ISDS, including South Africa, India, New Zealand and Ecuador. Brazil has always refused to sign up to ISDS.
Investor-State Dispute Settlement (ISDS,) or ‘corporate courts’, gives corporations far reaching privileges and access to their own legal system to enforce them. This mechanism threatens society, democracy and the planet.
STOP ISDS!
 
Mimi nikisema magufuri alikuwa na matatizo ya kufikili kuna watu humu huwa wanachukia sana ...lakini huo ndio ukweli
Alifanya kosa gani kufuta Ile hati ya lile shamba poli?
Aliifuta akampa muwekezaji mwingine na Leo tunatengeneza sukari pale,badala ya kulaumu mikataba ya kimangungo ya Kikwete wewe unamlaumu maguli,
 
Back
Top Bottom