Ndege ya Tanzania yakamatwa nje, Taifa ladaiwa bilioni 380 kwa kuvunja mkataba bila utaratibu


Mwenye Enzi Mungu aingilie kati atusaidie jamani uwii[emoji24]
 
Sasa si waseme tu tunadaiwa kiasi gani wananchi tukiongozwa na Chadema tuchangie.

Chadema ni wazoefu kwenye kupiga donations.
 
Ukurupukaji wa Magufuli ndio umesababisha hili
Kila kitu mnasingizia Magufuli tu,sijui Ikuru mnafanya kazi gani, ndege hata Wakati wa Magufuli zilikamatwa tena kwa makosa ya enzi za nyerere ,kisa mzungu alinyanganywa shamba, Sasahivi mafisadi wanafanya kila mbinu wajichotee ela Maana Tanganyika Sasahivi ni shamba la bibi
 
Maamuzi ya serikali ya Magufuli ndio yalileta kesi hii
Tanzania ilifanywa shamba la Chato enzi za Magufuli
 
Uzuri jana mama kapata phd. Kwahiyo saizi ni msomi wa kila kitu. Saizi anajua sheria, uwekezaji, mahusiano ya kimataifa, flight engineering, trade and commerce, ujasiriamali nk. Msijali anaikomboa hii ndege na itatua dar siku si nyingi
 
wa canada tena wamefanya yao aisee
 
Hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu pole sana
 
lipen deni mnakopa pesa zenyewe hazionekani zinachokifanya tunazotoa.
 
Hiki siyo kivule cha mambo yale yale ya mtu yule aliyewahi kuokotwa jalalani kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…