Ndege ya Tanzania yakamatwa nje, Taifa ladaiwa bilioni 380 kwa kuvunja mkataba bila utaratibu

Ndege imekamatwa wapi? Mbona habari yako iko kiumbea umbea?
 
Ukweli ni hakuna beberu wa kuhangaika na Afrika
 
Magufuli ametuachia majanga makubwa sana. Marais watatu watakaofuata baada ya magufuli wataipata fresh maana yule jamaa aliuvuluga sana uchumi wetu
 
Iko siku tutauzwa na wananchi wote humu nani! Hasa ikizingatiwa 'madalali' wengi wapo kwenye 'seat' ktk awamu itakuwa hatareee
 
Wazungu wameona hii nchi ya kujipatia hela za bure bure, i believe Her Ex. Dr. Samia will stop this nonsense..!!
 
Hilo halina shida kabisa tuambieni TU change sh. Ngapi kiia raia deni lilipwe tukachukue ndege yetu
 
Imekamatwa wapi tena? Hebu jazia jazia nyama hii habari
Kuna taarifa zilikuja humu jukwaani wiki kadhaa zilizopita zikidai kuwa kuna ndege yetu noja Boeing imepaki Maastricht Uholanzi tangu January mwaka huu. Possibly yaweza kuwa ni hiyo. By the way, baadhi ya raia walioko South Afrika ni Waholanzi
 
Na walioporwa mali zao baada ya Azimio la Arusha na Mapinduzi ya Zanzibar wafungue kesi mahakama hizo hizo za Ulaya ili wadai fidia zao. Ujerumani mpaka leo inalipa fidia familia za Wayahudi walioporwa mali zao wakati wa utawala wa Hitler. Jasho la mtu haliliwi bure.
 
Haya sasa wawatume mawakili wao wakakutane na zile macho za buluuu alizosema dokta mama hivi majuzi.
 
Mazezeta ya JPM yako wapi? Ona anavyotia nchi hasara
 
Akili kama zako ndio zinapigwa vita Tanzania na Kuna makenge wajinga wachache wamepewa mamlaka wanajifanya Wana akili kumbe sifuri kabisa. Ccm imeishiwa watu Wenye akili kabisa hawaelewi hata Dunia inavyoenda wanachojua wao ni kutukomoa maskini wenzao pumbavu kabisa.
Na mabadiliko yanakuja nyie mliopo madarakani Mali zote za umma mlizoiba mtazitapika hata kama hamtakuwepo watoto wenu watajuta kuwa na mibaba mijinga kabisa
 
Anakula Kodi na tozo zetu wanyonge na haya matoto ya viongozi wa Leo yatajuta sana Kwa ujinga wa wazi wao
 
Enzi za Magufuli wakina Lissu walikuwa wanafurahia hizi news, sahivi wako kimya
Walionya kuhusu kufanya mambo bila kufuata Sheria Wala utaratibu wakapuuzwa na kukejeliwa!! Wapi mapesa ya makinikia si wayatumie kulipa deni hilo dege letu lirudi kuchapa mzigo na kazi iendelee jamani wanangoja nini?!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…