Ndege ya Tanzania yakamatwa nje, Taifa ladaiwa bilioni 380 kwa kuvunja mkataba bila utaratibu

Acha uongo na upumbavu, mnafiki mkubwa wewe, thibitisha hapa kuwa Mr.Lissu alifurahia haya mambo, tuambiane ukweli sio unafiki, tuna deni basi tulipe au tuongee na wanaotudai the way forward kufikia mwafaka wa kulipa deni.
2016 mkataba ulisitishwa.
 
Na enzi zake wakina lissu wangejitokeza kupiga kelele, lakini leo wameufyta nakuimba mapambio ya mama anaupiga mwingi.kuna siku ndugai alisema nchi itapigwa mnada,matokeo yake mkaanza kumnanga.
2016 mkataba ulisitishwa.
 
Shamba alilopewa Azam ndo hawa walitolewa.
 
Wanasema mama ameimalisha mahusiano lakini kwa mini ndege yetu ikamatwe?Hayo mahusiano anayoyaimalisha kwanini hatuyaoni?
 
Rostam hana ndege za kuferry watu. Yeye kajikita mbugani haswa na citation, C208
 
Ndege si mali ya ATCL, bali Serikali kupitia Wakala wa Ndege
 
ingekuwa ni enzi za Rais Magufuli kina kigogo and the likes wangeandika sana ila sasa hivi wako kimya

hii inazidi kuprove kina kigogo walikuwa kina nani na nani😎
. A new government under President John Magufuli revoked the title to the land in 2016.
 
bila kumtaja lisu siku yako haishi wewe. mwisho wa siku ukijibiwa unaanza kutukana watu.
Lisu anaingiaje hapa, kwani yeye ni mwanasheria wa serikali?
wewe uliosomeshwa kwa kodi za watanzania unalisaidiaje taifa zaidi ya kuzushia watu mambo usiyoweza kuthibitisha?
Akili ndogo za chuo cha kivukoni
 
. A new government under President John Magufuli revoked the title to the land in 2016.
 
. A new government under President John Magufuli revoked the title to the land in 2016.
 
sijui tutaruka wapi ! south africa deni na huko deni kesho kenya deni
 
Ccm imeshikwa KOO
 
Wananchi wananuka madeni na nchi inanuka madeni... walah! umasikini ni laana isee😅😅🤣😇
 
Kuna kitu hakikukaa sawa sawa kwenye kampuni ya ndege AirTanzania.
Matatizo ya injini za Airbus 220-300 yaligundulika miaka kama mitano nyuma tukiwa na order ya kwanza, matoleo ya Mwanzo, ndege zilipelekwa tena kiwandani zikiwemo Swissair na Baltic Airways ...zetu hasikuitwa kwa nini?

Wiki sasa hakuna Airbus 220-300 inayoruka sasa zaidi ya Bombardier na Boeing. Airbus moja ndiyo hiyo imezuiliwa Maastritch sio tena kwa ajili ya matengenezo bali amri ya mahakama.... Kuna mengi yatatushangaza kabla mwaka huu haujaisha!.
 
Waache watumie sheria zao zote za kimataifa sisi tutatumia zetu za ndani na tutawadai fidia.
 
Nilikuwa na kisafari changu cha kwenda uholanzi next month hadi nimeogopa unaweza tua airport tu ukaambiwa tusubir kushoto hapo kwanza..

maraa eeh unashikiliwa hadi deni la mwekezaji fulani lilipwe na serikali yako😅😅🤣🤣😇
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…