Ndege ya Tanzania yakamatwa nje, Taifa ladaiwa bilioni 380 kwa kuvunja mkataba bila utaratibu

Ndege ya Tanzania yakamatwa nje, Taifa ladaiwa bilioni 380 kwa kuvunja mkataba bila utaratibu

Enzi za Magufuli wakina Lissu walikuwa wanafurahia hizi news, sahivi wako kimya
Hapana, kina Lissu walikuwa wanaonyakufaya mambo kwa kukurupuka kwamba kunaleta nchi kushitakiwa na kulipa fidia kubwa
 
Huyu ni muungwana sana, hata Kama utendaji sio. Utamchukia kwa mapungufu yake ya kazi Kama mgao etc, lakini yeye binafsi Kama samiah utamchukia kwa lipi?
Wewe Ni mpumbavu,unaweza mlinganisha SSH kwenye delivery na taahira yupi aliyewahi kuwa Rais hapa Tanzania ukimuacha Nyerere mzee wa stori mingi?
 
Swali la msingi ilifata nini huko???kipindi hiki tunakesi kibao za madai kwenye nchi za jumuiya ya ulaya na Marekani,
 
Acha ujinga Makonda. Wakati wa Magufuli ndege nyingi zilishikwa na ziliachiwa baada ya kulipa madeni. Ule ulikuwa ubabe wa kisenge tu
Magufuli alipaswa kuungwa mkono kwa kujaribu kutunasua kwenye mamikataba ya kifisadi aliyoingia Kikwete,

Bahati mbaya sana Magufuli alikumbana na pingamizi toka kwa wapumbavu kama wewe!
 
Hivi kuna Rais aliyeharibu hii nchi kuzidi Jiwe?
Ndiyo aliye tutoa uchumi wa chini hadi kati kwa miaka 3 tu ...huyo mpumbaavu wenu katuporomosha ...nchi stupid
 
Mbio na jitihada za kuinusuru ndege Airbus A220-300 ya Air Tanzania zagonga mwamba, korti yashindwa kushawishika ndege iachiliwe.

Deni la mwekezaji wa uliokuwa uwe mradi wa miwa na ethanol US$165 million kwa serikali kushindwa kutekeleza

makubaliano yaliyokuwa katika mkataba wa mradi huo ndicho chanzo ndege ya Air Tanzania kukamatwa.

Kunganganiwa kwa ndege hiyo kumekuja baada ya jaji kukubali hoja za upande wa mdai kuwa 'rufaa' ya serikali ya Tanzania kuomba ndege isiwe sehemu ya kutumika kudai deni kimsingi imechelewa.

29 November 2022

Tanzanian plane remains grounded despite ICSID stay​

Susannah Moody
29 November 2022

A Swedish investor that won a US$165 million award against Tanzania has persuaded a Dutch court to uphold the attachment of an aircraft owned by the east African state, even though ICSID has stayed enforcement pending annulment proceedings.

On 8 November, a preliminary relief judge in the District Court of Limburg refused to lift the attachment granted in favour of Swedish entity EcoDevelopment in Europe.

Tanzania argued the attachment was unlawful because it was obtained a day after the state had applied to ICSID to annul EcoDevelopment’s award. But the judge reasoned that ICSID’s provisional stay of enforcement of the award only took effect on the date that the institution registered the state’s annulment request.

The Swedish company is using Houthoff in the Dutch courts and Mannheimer Swartling in the ICSID proceedings. Tanzania has turned to Buren Legal for the attachment proceedings but has not appointed external counsel in the arbitration or annulment proceedings.

EcoDevelopment, which is owned by 18 Swedish citizens and business leaders, brought its ICSID claim in 2017 under the Sweden-Tanzania bilateral investment treaty.

The dispute concerned abandoned plans to develop a sugar cane project in Bagamoyo on the eastern coast of Tanzania. The project was intended to produce sugar for export as well as ethanol for use in generating electricity.

But the project encountered opposition from local activists on behalf of 1,300 farmers still using the land. The investor also blamed the government for failing to introduce a new sugar industry regulation and provide land free from incumbrance. A new government under President John Magufuli revoked the title to the land in 2016.

In April this year, an ICSID tribunal chaired by the UK’s Sir Christopher Greenwood KC and including Stanimir Alexandrov and Funke Adekoya SAN issued an award in EcoDevelopment’s favour and ordered Tanzania to pay nearly US$165 million.

On 16 June, a day after ICSID received Tanzania’s application to annul the award, EcoDevelopment obtained leave from the District Court of The Hague to pursue enforcement; and an ex parte ruling from the provisional relief judge in Limburg permitting the plane seizure.

The Airbus A220 plane, operated by the state’s flag carrier Air Tanzania, had already been grounded at Maastricht Aachen Airport since January this year, reportedly because of engine problems.

ICSID eventually registered the annulment request on 21 June and notified the parties of the provisional stay of enforcement.

An ICSID ad hoc committee chaired by ex-Milbank partner Michael Nolan and including Carole Malinvaud of Gide Loyrette Nouel and Kenya’s former attorney general Githu Muigai issued a decision in September continuing the stay of enforcement.

Tanzania meanwhile applied to the Limburg court to lift the attachment and prohibit EcoDevelopment from seeking any further attachment based on the ICSID award while the annulment proceedings are pending.

The state argued that the effect of the automatic stay granted by ICSID was that the award was not provisionally enforceable and that the attachment was thus granted unlawfully. It contended that the Dutch courts were bound to recognise the ICSID stay decision as binding.
Tanzania also argued that the attachment had affected its interests in a disproportionately serious way and that as a national government it had sufficient assets within and outside its territory to ensure the award would be paid.

But in this month’s decision, Judge KJH Hoofs said it was not clear from the ICSID Convention when the provisional stay commences. While Christoph Schreuer’s well-known commentary on the convention suggests it takes effect from the date of an annulment application, the judge said ICSID case law suggested it took effect upon the date of its registration by ICSID. The judge therefore concluded that the attachment was lawful.

The judge also said the ad hoc committee’s decision to continue the stay did not affect the attachment, and that Dutch law applied to the execution of the award. She said she could only lift an enforcement order if the executing party had no reasonable interest in using their power of enforcement, which Tanzania had not demonstrated.
She also declined to prohibit further attachments, observing that EcoDevelopment had already stated that it would not sell the aircraft or take further enforcement measures while the annulment proceeding was ongoing.

Earlier this month, the ad hoc committee rejected an unusual attempt by EcoDevelopment to have Tanzania’s annulment request thrown out under ICSID rule 41(5), which allows for expedited dismissal of claims that are manifestly without legal merit. The mechanism is more commonly used in ICSID arbitrations but was invoked by Panama last year in a failed bid to knock out an annulment request by Dominion Minerals.
United Republic of Tanzania v. EcoDevelopment in Europe AB & others (C/03/310349/KG SA 22-395)
In the District Court of Limburg

Bench
  • K Hoofs
Counsel to Tanzania
  • Buren Legal Tax Notary
Partner Philip ter Burg and associate Michelle Engberts in The Hague
Counsel to EcoDevelopment and others
  • Houthoff
Partners Dirk Knottenbelt and Thomas Stouten, senior associate Eva Milou Moison and associates Alejandro Gonzalez and Allard Kool in Rotterdam
EcoDevelopment in Europe AB & others v. United Republic of Tanzania (ICSID Case No. ARB/17/33)
Annulment proceedings

Ad hoc committee
  • Michael Nolan (US) (president)
  • Carole Malinvaud (French)
  • Githu Muigai (Kenyan)
Counsel to the claimants
  • Mannheimer Swartling
Counsel to Tanzania
Office of the Attorney General, Dar es Salaam, Tanzania
EcoDevelopment in Europe AB & others v. United Republic of Tanzania (ICSID Case No. ARB/17/33)
Tribunal
  • Christopher Greenwood (British)
  • Stanimir Alexandrov (Bulgarian) (appointed by the claimants)
  • Olufunke Adekoya (British, Nigerian) (appointed by the respondent)
Counsel to the claimants
  • Mannheimer Swartling
Partner Jakob Ragnwaldh in Hong Kong with associates Robin Rylander and David Sandberg in Stockholm
  • Kaj Hober of 3 Verulam Buildings
Counsel to Tanzania
Office of the Attorney General, Dar es Salaam, Tanzania

Source : Tanzanian plane remains grounded despite ICSID stay
 
Kitambo kipi? Jiwe alifuta Mkataba wa mwekezaji kinyemela 2016 Sasa hapo Nani alikuwa Rais?

Kila alichogusa Jiwe aliharibu na haya ndio matokeo yake Sasa.
Huu upumbavu wa Samia v Magufuli kwenye kila kitu unakuzwa na njaa zenu; halafu sijui baadhi yenu wageni.

Weka mipaka ya kila tatizo la Tanzania basi lazima kuna kiongozi anahusika.

Hivi mtu anawezaje kukudai fidia wakati ata eneo lenyewe ajaendeleza, anawezaje kukudai fidia wakati sheria za Tanzania zina mpa raisi mamlaka ya kufuta matumizi ya ardhi muda wowote.

Ni moja ya kesi ya kijinga kweli kusoma kwenye maisha yangu.

Magufuli alikuwa na team inayoangalia kesi zote zinazofunguliwa dhidi ya Tanzania na walikuwa washaanza kuzishinda kesi za kijinga kama hizi.

Hiyo kesi imesikilizwa mwaka huu na ya kipuuzi kweli, issue inakuja serikali ya Tanzania hazina pressure tactics za kupambana na mabeberu wala counter action.

Baada ya kulipa Canada kirahisi au serikali kutoidai fidia South Africa nilijua tu huu mchezo wazungu watatutesa nao.

Hapo bila ya Tanzania kuishirikisha AU, na kuchukua hatua za kisheria dhidi ya hizo nchi kwa kulalamikia WTO hizo economic sabotage na huu mchezo autoisha.
 
Lisu si amesomeshwa kwa kodi za watanzania aje aonyeshe uanasheria wake sasa aikomboe ndege.

Lakini ninanvyojua atakuwa anashangilia sana huko aliko kwamba li ndege la Samia limekomeshwa

Wakati wa Magufuli na Kabudi zilikamatwa nyingi na zikaachiwa na kuendelea kupiga kazi.

Sasa hivi tunaambiwa nchi imefunguliwa na mahusiano ya kidiplomasia ni mazuri mno alafu ndege inakamatwa
Mkuu. hiyo para ya 2 ni wewe wasema maana ndio mawazo yako na sio ya Lisu. Mimi nadhani unaufahamu juu ya mkasa huu, tafadhali tujuze tuelewe
 
Huu upumbavu wa Samia v Magufuli kwenye kila kitu unakuzwa na njaa zenu kwenye kila kitu; halafu sijui baadhi yenu wageni.

Weka mipaka ya kila tatizo la Tanzania basi lazima kuna kiongozi anahusika.

Hivi mtu anawezaje kukudai fidia wakati ata eneo lenyewe ajaendeleza, anawezaje kukudai fidia wakati sheria za Tanzania zina mpa raisi mamlaka ya kufuta matumizi ya ardhi muda wowote.

Ni moja ya kesi ya kijinga kweli kusoma kwenye maisha yangu.

Magufuli alikuwa na team inayoangalia kesi zote zinazovunguliwa dhidi ya Tanzania na walikuwa washaanza kuzishinda kama kesi za kijinga kama hizi.

Hiyo kesi imesikilizwa mwaka huu na kipuuzi kweli, issue inakuja serikali za Tanzania hazina pressure tactics za kupambana na mabeberu wala counter action; baada ya kulipa Canada kirahisi au serikali kutoidai fidia South Africa nilijua tu huu mchezo wazungu watatutesa nao.

Hapo bila ya Tanzania kuishirikisha AU, na kuchukua hatua za kisheria dhidi ya hizo nchi kwa kulalamika WTO hizo economic sabotage huu mchezo autoisha.
Sawa lakini huwezi futa kinyemela hati niliko iliyoko kisheria..

Kwani Serikali haikujua kwamba Kuna hiyo case ili wakapambane kisheria au kufanya hayo unayoyasema?

Matusi hayatakusaidia Wala hayafuti ukweli kwamba Mwendazake alikuwa Ni mkurupukaji wa maamuzi yake.
 
Muwekezaji wa Kiswidi aliyeshinda tuzo ya Dola za kimarekani milioni 165 ameishawishi Mahakama ya Uholanzi kuishikilia ndege ndege ya Tanzania wakati pingamizi zikiendelea.

Mgogoro huo umetokana na kufutwa mpango wa kuendeleza mashamba ya sukari wilayani Bagamoyo umbao ulikuwa na malengo ya kuzalisha sukari kwaajili ya kuuza nje ya nchi na ethanol ili kuzalishia umeme.

Mradi huo ulipata pingamizi kutoka kwa wanaharakati wa ndani wakiwawakilisha wakulima 1300 ambao bado walikuwa wakitumia ardhi hiyo. Pia muwekezaji huyo aliilaumu Serikali ya Tanzania kushindwa kutengeneza kanuni za sekta ya sukari na kufanya ardhi hiyo kuwa na vikwazo.

Serikali mwaka 2016 ilifuta hati hiyo. Aprili, 2022 Mahakama iliipa ushindi wa tuzo yenye thamani ya Dola za Kimarekani milioni 165 Kampuni ya EcoDevelopment. June 16, ikiwa ni siku moja baada ya ICSID kupokea maombi ya Tanzania kubatilisha hukumu hiyo, Ecodevelopment ilipata ruhusa (leave) kutoka kwenye mahakama ya wilaya ya The Hague kutimiza na maamuzi ya upande mmoja kutoka kwa jaji wa Limburg yaliyotoa kibali cha kuishikilia ndege.

Ndege ya Airbus A220 ilikuwa tayari imenyimwa ruhusa ya kupaa tangu Januari kwenye kiwanja cha ndege cha Maastricht Aachen taarifa ikisema ni kutokana na matatizo kwenye injini.

Zaidi, jisomee=> Hapa

==========

A Swedish investor that won a US$165 million award against Tanzania has persuaded a Dutch court to uphold the attachment of an aircraft owned by the east African state, even though ICSID has stayed enforcement pending annulment proceedings.

On 8 November, a preliminary relief judge in the District Court of Limburg refused to lift the attachment granted in favour of Swedish entity EcoDevelopment in Europe.

Tanzania argued the attachment was unlawful because it was obtained a day after the state had applied to ICSID to annul EcoDevelopment’s award. But the judge reasoned that ICSID’s provisional stay of enforcement of the award only took effect on the date that the institution registered the state’s annulment request.

The Swedish company is using Houthoff in the Dutch courts and Mannheimer Swartling in the ICSID proceedings. Tanzania has turned to Buren Legal for the attachment proceedings but has not appointed external counsel in the arbitration or annulment proceedings.

EcoDevelopment, which is owned by 18 Swedish citizens and business leaders, brought its ICSID claim in 2017 under the Sweden-Tanzania bilateral investment treaty.

The dispute concerned abandoned plans to develop a sugar cane project in Bagamoyo on the eastern coast of Tanzania. The project was intended to produce sugar for export as well as ethanol for use in generating electricity.

But the project encountered opposition from local activists on behalf of 1,300 farmers still using the land. The investor also blamed the government for failing to introduce a new sugar industry regulation and provide land free from incumbrance. A new government under President John Magufuli revoked the title to the land in 2016.

In April this year, an ICSID tribunal chaired by the UK’s Sir Christopher Greenwood KC and including Stanimir Alexandrov and Funke Adekoya SAN issued an award in EcoDevelopment’s favour and ordered Tanzania to pay nearly US$165 million.

On 16 June, a day after ICSID received Tanzania’s application to annul the award, EcoDevelopment obtained leave from the District Court of The Hague to pursue enforcement; and an ex parte ruling from the provisional relief judge in Limburg permitting the plane seizure.

The Airbus A220 plane, operated by the state’s flag carrier Air Tanzania, had already been grounded at Maastricht Aachen Airport since January this year, reportedly because of engine problems.

ICSID eventually registered the annulment request on 21 June and notified the parties of the provisional stay of enforcement.

An ICSID ad hoc committee chaired by ex-Milbank partner Michael Nolan and including Carole Malinvaud of Gide Loyrette Nouel and Kenya’s former attorney general Githu Muigai issued a decision in September continuing the stay of enforcement.

Tanzania meanwhile applied to the Limburg court to lift the attachment and prohibit EcoDevelopment from seeking any further attachment based on the ICSID award while the annulment proceedings are pending.

The state argued that the effect of the automatic stay granted by ICSID was that the award was not provisionally enforceable and that the attachment was thus granted unlawfully. It contended that the Dutch courts were bound to recognise the ICSID stay decision as binding.

Tanzania also argued that the attachment had affected its interests in a disproportionately serious way and that as a national government it had sufficient assets within and outside its territory to ensure the award would be paid.

But in this month’s decision, Judge KJH Hoofs said it was not clear from the ICSID Convention when the provisional stay commences. While Christoph Schreuer’s well-known commentary on the convention suggests it takes effect from the date of an annulment application, the judge said ICSID case law suggested it took effect upon the date of its registration by ICSID. The judge therefore concluded that the attachment was lawful.

The judge also said the ad hoc committee’s decision to continue the stay did not affect the attachment, and that Dutch law applied to the execution of the award. She said she could only lift an enforcement order if the executing party had no reasonable interest in using their power of enforcement, which Tanzania had not demonstrated.

She also declined to prohibit further attachments, observing that EcoDevelopment had already stated that it would not sell the aircraft or take further enforcement measures while the annulment proceeding was ongoing.

Earlier this month, the ad hoc committee rejected an unusual attempt by EcoDevelopment to have Tanzania’s annulment request thrown out under ICSID rule 41(5), which allows for expedited dismissal of claims that are manifestly without legal merit. The mechanism is more commonly used in ICSID arbitrations but was invoked by Panama last year in a failed bid to knock out an annulment request by Dominion Minerals.

United Republic of Tanzania v. EcoDevelopment in Europe AB & others (C/03/310349/KG SA 22-395)

In the District Court of Limburg
Hii kesi nimeisikia toka mwanzo mwa mwaka.
Serikali ilijua lakini ikakausha kimya kuwaamia wananchi, sasa tunaumbuka.
 
Hivi mtu anawezaje kukudai fidia wakati ata eneo lenyewe ajaendeleza, anawezaje kukudai fidia wakati sheria za Tanzania zina mpa raisi mamlaka ya kufuta matumizi ya ardhi muda wowote

Tundu Lissu akiwa kama mzalendo halisi, alipata kusema na kuishauri serikali na bunge lake wawe makini kuhusu mikataba ya kimataifa kama huu, kuwa mkataba ukivunjwa kuna masharti, vigezo na taratibu za kuzingatiwa ambavyo vinaweza kuligharimu taifa pakubwa ikiwa mikataba itavunjwa kienyeji.

Serikali ilitumia ubabe kama wanaotumia kwa raia wake wa kiTanzania, tatizo mradi huu ulihusisha mwekezaji katika ngazi ya mdau wa maendeleo wa kimataifa, hivyo vigezo, masharti na taratibu za mkataba na sheria vinapaswa kuzingatiwa.

Back
Top Bottom