Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja mtaalamu wa negotiations Prof Kabudi aende akaikomboe
Kuna maamuzi yanafanywa na Serikali utasema haina Mwanasheria Mkuu wa Kuishauri.
At the end tunaingia hasara Kubwa kama hivyo
Tatizo kwa uongozi wa Magufuli, nikiambiwa kwamba huo mkataba ulivunjwa bila hata kuangalia uvunjaji strategically sitashangaa. Yani kama umevunjwa kwa "amri kutoka juu" tu, sitashangaa.Hakuna anaebishia hilo na kwenye moja ya post ata ni mimi nimeelezea stabilisation clause is the norm kwenye FDI.
Sasa kwakuwa kesi imesikilizwa nje ya nchi aina maana specific contract terms both expressed and implied (including Tanzania statue laws) are ignored. Moreover breach and damages are based on investment evidence, hilo shamba lilikuwa bado pori wakati hati inafutwa sasa how they justify hiyo hasara.
😂😂😂😂😂Hilo nalo nendeni MKALITIZAME!
View attachment 2432100
Shida ya Viongozi wetu ni Bendera fuata Upepo.Huyo si aliwekwa pembeni
Labda ila sidhani kama atakubali wana hasira hao kwa sasa!
Tumewapa dhamana ya kulinda Taifa letu matokeo yake wamekuwa ndio mawakala wa kuuza ramani kwa majambazi.Hii nchi sabotage zinaanzia ndani! Wapiga deal wanaumiza Taifa ...
Na bado!,
Kuna zingine zitadakwa kwa mikono ya mafisadi ya CCM kupitia mgongo wa mabeberu!
Kumbe ni njama za wizi wa kodi zetu
Ndege ya ATCL imezuiwa nchini Uholanzi kwa amri ya mahakama ya ICSID (Hii ni Mahakama inayoshughulikia migogoro ya uwekezaji ya Kimataifa). Ni mahakama iliyopo chini ya Benki ya Dunia.
Amri hiyo ya mahakama ya kuzuia ndege ya ATCL aina ya Airbus 320 ambayo ni mali ya walipakodi wa Tanzania - imetolewa baada ya kampuni ya EcoDevelopment ya Sweden kushinda shauri dhidi ya serikali ya Tanzania, ikidai fidia ya Dola za Kimarekani Milioni 165 (TZS Bilioni 380). Madai hayo yalitokana na kitendo cha Serikali ya Tanzania kufuta hati ya umiliki wa ardhi mjini Bagamoyo ambapo kampuni ya EcoDevelopment iliwekeza kwa miaka 10, mradi wa kuzalisha Sukari, Umeme na Mafuta.
------
Habari ya hii kesi ni nzito, na serikali imekata rufaa lakini bado haijaajiri kampuni ya sheria ya kuitetea. Mwanasheria mkuu Eliezer Feleshi hajato taarifa zote. Lakini hii kesi ni nzito. Kuna mashirika makubwa kama Benki ya Dunia, Benki ya Maendeleo ya Afrka nk.
Tuendelee kufuatilia.
Samia alikuwa wapiHaya madeni yalisababishwa na yule kiongozi muovu aliyeko motoni.
Samia alikuwa wapi
Naye alaaniweAlikuwa anabeba briefcase za dhalimu.
Dkr. Samia ameagiza, hilo nalo mkalitizame.
Naye alaaniwe
🤣🤣🤣🤣🤣Dkr. Samia ameagiza, hilo nalo mkalitizame.