Ndege ya Tanzania yakamatwa nje, Taifa ladaiwa bilioni 380 kwa kuvunja mkataba bila utaratibu

Hapo watasema tuungane kama taifa, na tuwe na uvumilivu na subra maana ndio kauli zao kama kuna matatizo
Kwa hiyo habari mbaya kama hii kwa nchi wewe haikuhusu ndugu yangu? Hadi uambiwe tuungane? Hivi huku tunaelekea wapi? Badilika. Tanzania ikihujumiwa unahujumiwa wewe na mnyororo wa vizazi vyako mijini na vijijini. #Wake up. πŸ™πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…