BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Hii hela ndogo sana. Mama akipiga zake ziara 2 nje ya nchi anaipata na anailipia ndege
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sisi tunamahela mengi tutalipa.
Hii nimeipenda! maanake huko yule wa kurembua macho ya kula kungu! atakata kiguu na njia!Tz ingekua ni mtu basi angekua ni yule mtu anaerudi nyumbani saa 6 usiku na kuondoka saa 11 alfajiri kwaajili ya kukimbia madeni
Tatizo hizo pesa zinawanufaisha wao zaidi ndio maana sie tuna enjoy tu.!Kwa hiyo habari mbaya kama hii kwa nchi wewe haikuhusu ndugu yangu? Hadi uambiwe tuungane? Hivi huku tunaelekea wapi? Badilika. Tanzania ikihujumuwa unahujumiwa wewe na mnyororo wa vizazi vyako mijini na vijijini. #Wake up. [emoji120][emoji120][emoji120]
Enzi za Magufuli wakina Lissu walikuwa wanafurahia hizi news, sahivi wako kimya
Usije kushangaa wapinzani wakabebeshwa lawama kama enzi za Jiwe.
Kuna watu watashangilia. Na kuombea iwe kweli.
wala hatujasahau, nilijua tu there's s'thing fishy going on[emoji276]Kuna NOTICE ya kukamata ndege zote za Tanzania, wakapata ujumbe wakasema ndege injini ni mbovu hazitakiwi kuruka tena,
Wakati ndege zilinunuliwa mpya.
Jamani mmesahau?
Hilo sio deni, ni watu wametunga tu gharama na kuzipeleka mahakamani.Dawa ya deni ni kulipa tu, hakuna namna.
Hili tatizo alilileta Jiwe mzee wa kuvunja mkataba bila kufata sheriaLisu si amesomeshwa kwa kodi za watanzania aje aonyeshe uanasheria wake sasa aikomboe ndege.
Lakini ninanvyojua atakuwa anashangilia sana huko aliko kwamba li ndege la Samia limekomeshwa
Wakati wa Magufuli na Kabudi zilikamatwa nyingi na zikaachiwa na kuendelea kupiga kazi.
Sasa hivi tunaambiwa nchi imefunguliwa na mahusiano ya kidiplomasia ni mazuri mno alafu ndege inakamatwa
Na enzi zake wakina lissu wangejitokeza kupiga kelele, lakini leo wameufyta nakuimba mapambio ya mama anaupiga mwingi.kuna siku ndugai alisema nchi itapigwa mnada,matokeo yake mkaanza kumnanga.
Ujinga wa kutoheshimu mikataba awamu ya 5.Ipo siku na hii nchi itapigwa mnada kama alivyosema Ndugai.
Uzembe wetu na kutofuata taratibu ikitokea consequences kama hiz tusitafute kichaka cha kujifichia. Kwa akil yako fupi unafikir ziliachiwa hivhiv tu 🤣🤣🤣Lisu si amesomeshwa kwa kodi za watanzania aje aonyeshe uanasheria wake sasa aikomboe ndege.
Lakini ninanvyojua atakuwa anashangilia sana huko aliko kwamba li ndege la Samia limekomeshwa
Wakati wa Magufuli na Kabudi zilikamatwa nyingi na zikaachiwa na kuendelea kupiga kazi.
Sasa hivi tunaambiwa nchi imefunguliwa na mahusiano ya kidiplomasia ni mazuri mno alafu ndege inakamatwa
Kuna mazuzu vichwa nazi wakisikia habari za aina hii kwa uzuzu wao watafurahi kweli kweli.
Jitahidi habari iwe kamili maana ipo nusu na haisemi imekamatwa wapi, kwa kosa gani, hilo deni linatokana na nini?
Unatoaa je taarifa Kama hi Bill kuweka nyama za kutoshaWakati wa Mwendazake, tuliambiwa haya mambo yalikuwa yanatokea kwasababu Mwendazake alikuwa anapambana na mabeberu na mafisadi katika vita ya kiuchumi.
Sasa leo Mwendazake hayupo, je hiyo vita ya kiuchumi nani anapambana nayo?
Serikali ya Mama Samia na yenyewe iko katika vita ya kiuchumi na mabeberu?
Au tutasingizia tena wapinzani waliokuwa wanachelewesha maendeleo?
Nchi ngumu sana hii!
Nikupe nauli mkuu?Tena chakari, japo mimi natafuta upenyo nipotee nikaishi hata pale migori tu inatosha sana
Basi tuseme ndio walikuwa wapiga michongo ili zikamatwe