Ndege ya Tanzania yakamatwa nje, Taifa ladaiwa bilioni 380 kwa kuvunja mkataba bila utaratibu

Tz ingekua ni mtu basi angekua ni yule mtu anaerudi nyumbani saa 6 usiku na kuondoka saa 11 alfajiri kwaajili ya kukimbia madeni
Hii nimeipenda! maanake huko yule wa kurembua macho ya kula kungu! atakata kiguu na njia!
  • Huku madeni
  • Huku wapinzani wanalishtaki kwa ukandamizaji hadi macho yasiyo na genye yatoke!
 
Tatizo hizo pesa zinawanufaisha wao zaidi ndio maana sie tuna enjoy tu.!


Enzi za Magu ingetuuma sana maana alitumia hizo pesa kujengea lami vijijin kwetu na kujenga masoko, stend n.k
 
Dawa ya deni ni kulipa tu, hakuna namna.
Hilo sio deni, ni watu wametunga tu gharama na kuzipeleka mahakamani.

Mfano leo ukate mti halafu ukaziba barabara, halafu nikachelewa kwenda kwenye kikao ‘hewa’ cha kusaini mkataba wa milioni 10, halafu kesho yake Unashangaa gari yako imekamatwa unadaiwa milioni 10. Hivi ndivyo tunafanyiwa Tz.
 
Hili tatizo alilileta Jiwe mzee wa kuvunja mkataba bila kufata sheria
 
Uzembe wetu na kutofuata taratibu ikitokea consequences kama hiz tusitafute kichaka cha kujifichia. Kwa akil yako fupi unafikir ziliachiwa hivhiv tu 🤣🤣🤣
 
Unatoaa je taarifa Kama hi Bill kuweka nyama za kutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…