Ndege ya Tanzania yakamatwa nje, Taifa ladaiwa bilioni 380 kwa kuvunja mkataba bila utaratibu

Hii nimeipenda! maanake huko yule wa kurembua macho ya kula kungu! atakata kiguu na njia!
  • Huku madeni
  • Huku wapinzani wanalishtaki kwa ukandamizaji hadi macho yasiyo na genye yatoke!
Jaribu kuwa na staha kwa kiongozi wako tena Rais wa nchi.
 
Serikali inajijua ina majanga hata utapeli hawawezi? Tafuta Raia mmoja asajili kampuni iwe kwa jina mlilochagua, back door anakua conteolled kila kitu nanvyombo vya usalama atanufaika na percent yake kulingana na makubaliano, serikali inajifanya iko pembeni wala haihusiki na hilo shirika wakati wanajua kila kitu, inaonekana ni shirika la mzalendo mnapiga kazi dunia nzima bila wasiwasi maana mali ya mtu binafsi haitohusishwa na madeni ya serikali, huku mnakua mnaclear mambo yenu taratibu, dunia imejaa umafia sana na mnacheza na akili za watu tu, sema ndio vile
 
Kwani France kinachomfanya aendelee kuing'ang'ania Mali ni nini haswa?
 
Watanzania wape kichwa cha habari tu story wanatengeneza wenyewe.

Kwanini mtu usisubiri habari kamili au hata uwe na background kidogo za nani mdai, ndege imekamatwa wapi, lini etc kabla ya kupita ili watu wa comment on merit.

Cha msingi ndege ya CCM imekamatwa
 
Hii nimeipenda! maanake huko yule wa kurembua macho ya kula kungu! atakata kiguu na njia!
  • Huku madeni
  • Huku wapinzani wanalishtaki kwa ukandamizaji hadi macho yasiyo na genye yatoke!
Uwe na heshima sas na rais bila kumuheshimu huyu rais uwezi kuwa na uhalali wa kusema hvyo

Futa Kauli kumbaffuu snaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…