Ndege ya Urusi imetua katika mji mkuu wa Niger

Ndege ya Urusi imetua katika mji mkuu wa Niger

Huko Niamey leo hii ndege ya kijeshi ya Urusi ikiwa na mamia ya wapiganaji wa Wagner wanaodaiwa kuchukuliwa kutoka Syria wametia timu Niger.
Lete chanzo cha kuaminika cha habari yako.
 
Huko Niamey leo hii ndege ya kijeshi ya Urusi ikiwa na mamia ya wapiganaji wa Wagner wanaodaiwa kuchukuliwa kutoka Syria wametia timu Niger
Hawa ni warusi wenyewe. Wewe umeitoa wapi?

Niger won't work with Wagner Group – PM​


18 hours agoNiger won't work with Wagner GroupPM. The West should nevertheless avoid pushing Niamey toward its enemies, Ali Lamine Zeine has warned.

RT - Breaking News, Russia News, World News and Video › africa › 581517-niger-wont-wag...
 
Back
Top Bottom