Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Agosti 9, 2024, Ndege aina ya
DHC-8-300 yenye usajili 5Y-SMI (Kenya) inayoendeshwa na Renegade Air kupitia WFP UNHAS, ilitengana na tairi zake kuu wakati wa kupaa kutoka Buny Airstrip huko Jonglei.
Pia soma: Brazil: Ndege yanye abiria 62 yapata ajali mjini Sao Paulo, hakuna aliyenusurika
Licha ya hitilafu hiyo, ndege hiyo ilifanikiwa kutua kwa dharura katika Uwanja wa Ndege wa Malakal.
Abiria wote 35 na wafanyakazi walitoka salama, na hakuna ripoti ya majeruhi. Uchunguzi bado unaendelea juu ya tukio hilo.
Taarifa ya;
Kenyanaviator
360aero
AviationTanzania