Ndege yapaa na kuacha chini matairi

Ndege yapaa na kuacha chini matairi

View attachment 3066047

Agosti 9, 2024, Ndege aina ya
DHC-8-300 yenye usajili 5Y-SMI (Kenya) inayoendeshwa na Renegade Air kupitia WFP UNHAS, ilitengana na tairi zake kuu wakati wa kupaa kutoka Buny Airstrip huko Jonglei.

Pia soma: Brazil: Ndege yanye abiria 62 yapata ajali mjini Sao Paulo, hakuna aliyenusurika

Licha ya hitilafu hiyo, ndege hiyo ilifanikiwa kutua kwa dharura katika Uwanja wa Ndege wa Malakal.

Abiria wote 35 na wafanyakazi walitoka salama, na hakuna ripoti ya majeruhi. Uchunguzi bado unaendelea juu ya tukio hilo.

Taarifa ya;
Kenyanaviator
360aero
AviationTanzania
Mwenyezi Mungu awape wepesi
 
Maana ni ratio,ajali per routes,kuna routes ngapi per day za ndege na ajali ni ngapi?
Screenshot_20240810-204630_Chrome.jpg
 
View attachment 3066047

Agosti 9, 2024, Ndege aina ya
DHC-8-300 yenye usajili 5Y-SMI (Kenya) inayoendeshwa na Renegade Air kupitia WFP UNHAS, ilitengana na tairi zake kuu wakati wa kupaa kutoka Buny Airstrip huko Jonglei.

Pia soma: Brazil: Ndege yanye abiria 62 yapata ajali mjini Sao Paulo, hakuna aliyenusurika

Licha ya hitilafu hiyo, ndege hiyo ilifanikiwa kutua kwa dharura katika Uwanja wa Ndege wa Malakal.

Abiria wote 35 na wafanyakazi walitoka salama, na hakuna ripoti ya majeruhi. Uchunguzi bado unaendelea juu ya tukio hilo.

Taarifa ya;
Kenyanaviator
360aero
AviationTanzania
Mbona unachanganya habari mbili kwa wakati mmoja mkuu? Kuwa makini na vyanzo vyako coz ajari ya Brazil abiria na wavanyakazi wote 61 wamefariki na hii ya ndege kuacha matairi chini ni ndege nyingine tofauti ambayo haikuwa na madhara makubwa
 
Me n

Me nikipandaga ndege huwa nahakikisha parachute yangu Iko pembeni kwa zarura
 
hapa ni wapi, kenye au nje ya Kenya
Kenya
Kama Uchumi wa Tanzania vile
😂😂😂😂
Sipatii picha abiria aliye kuwepo dirishani na kuona tairi hamna
Hahahahaa
Ndio Mana sipendi kabisa Ndege

Ni hatari mnooo
..
Lakini ndio usafiri salama zaidi
Sasa Ulaya utqpanda Shabiby?.....Uzipende tu.
😂😂😂
Mwenyezi Mungu awape wepesi
Wamesalimika
 
hapa ni wapi, kenye au nje ya Kenya
Kenya
Kama Uchumi wa Tanzania vile
😂😂😂😂
Sipatii picha abiria aliye kuwepo dirishani na kuona tairi hamna
Hahahahaa
Ndio Mana sipendi kabisa Ndege

Ni hatari mnooo
..
Lakini ndio usafiri salama zaidi
Sasa Ulaya utqpanda Shabiby?.....Uzipende tu.
😂😂😂
Mbona unachanganya habari mbili kwa wakati mmoja mkuu? Kuwa makini na vyanzo vyako coz ajari ya Brazil abiria na wavanyakazi wote 61 wamefariki na hii ya ndege kuacha matairi chini ni ndege nyingine tofauti ambayo haikuwa na madhara makubwa
Hiyo ya Brazil imewekwa na moderator.. Yanapotokea matukio ya kufanana kwa wakati mmoja .. Huongezwa kwenye mada mojawapo kwa caption ya 'Pia soma. .'
 
AviationTanz
Watumieni ambulance ya ungo wa babu
 
Nandio ukweli usafiri wa anga ndio usafiri salama kuliko zote
Ndege hua hazianguki mara kwa mara ila siku ikianguka ujue kupona hata mtu shughuli
Sidhanii kama duniani inapita siku tusishuhudie ajali kadha wa kadha ila za ama ya ndege hua zakutafuta tafuta sanaa
Kama kusingekua na mabara kama afrika na asia yenye usafiri mbovu wa baharini (majini)
Nadhani usafiri wa majini ndio ungekua salama kuliko
Kwa mimi usafiri wa reli ndio naona kuwa usafiri salama zaidi kuliko usafiri wowote.
Maana hata ajali ya treni ikitokea inategemea na ajali ya aina gani ndio madhara hupimiwa.
 
Back
Top Bottom