Ndege yapaa na kuacha chini matairi

Kenya kwa hujuma hawajanbo, inakuwaje seti zote mbili mbele na nyuma zinyofoke kwa mpigo? Nani maarufu alikuwemo humo
 
Alafu wanasema usafiri wa anga ndio salama kushinda zote
Nandio ukweli usafiri wa anga ndio usafiri salama kuliko zote
Ndege hua hazianguki mara kwa mara ila siku ikianguka ujue kupona hata mtu shughuli
Sidhanii kama duniani inapita siku tusishuhudie ajali kadha wa kadha ila za ama ya ndege hua zakutafuta tafuta sanaa
Kama kusingekua na mabara kama afrika na asia yenye usafiri mbovu wa baharini (majini)
Nadhani usafiri wa majini ndio ungekua salama kuliko
 
Hakuna Maintenance ya kutosha kwasababu hizi Ndege za WFP na UNHCR huwa ziko Bize sana huko South Sudan.
Labda sema kingine lakini siyo kwamba hazina maintenance, SOP za UN kwenye maswala ya security ni za hali ya juu kuzidi hata za serikali! Kwa hilo serikali wakasome!
 
Labda sema kingine lakini siyo kwamba hazina maintenance, SOP za UN kwenye maswala ya security ni za hali ya juu kuzidi hata za serikali! Kwa hilo serikali wakasome!
Ninalwambia hivyo kwasababu hata mimi nisipobadilisha Wheel bearings au nidipozipa Lubrication huwa zinafeli nimefanya kazi na WFP sana ni Watu wa kawaida sana sembuse huko Jonglei South Sudan.
 
hapa ni wapi, kenye au nje ya Kenya
Kenya
Kama Uchumi wa Tanzania vile
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sipatii picha abiria aliye kuwepo dirishani na kuona tairi hamna
Hahahahaa
Ndio Mana sipendi kabisa Ndege

Ni hatari mnooo
..
Lakini ndio usafiri salama zaidi
Sasa Ulaya utqpanda Shabiby?.....Uzipende tu.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…