Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Ajali iyo mzee uoni mwishon imesambaratika.Hiyo ni helicopter. Sidhani kama ni ajali; wanaifanyia majaribio ya amphibian.
Mkuu hiyo ni ajali kutokana na hitilafu ya hiyo helicpter.Sijui wamefanya uzembe gani hawa mabwana mpaka hii ndege imepata ajali kirahisi hivi.
Hii ajali imetokea baharini wakiwa wanafanya kazi za offshore.
View attachment 3020078
Kuna mtu kafa?Ajali iyo mzee uoni mwishon imesambaratika.
Je, kuna watu wamesalimika hapo?Sijui wamefanya uzembe gani hawa mabwana mpaka hii ndege imepata ajali kirahisi hivi.
Hii ajali imetokea baharini wakiwa wanafanya kazi za offshore.
View attachment 3020078
Ngoja nimwuulize jama aliyekuwa hapoJe, kuna watu wamesalimika hapo?
Kuna meli jirani ila juhudi za uokoaji hazikuonekana, au sababu ya ufupi wa clip?
Kwani ni wapi huko, Tz au?Ngoja nimwuulize jama aliyekuwa hapo
Panama nini au Jersey???Sijui wamefanya uzembe gani hawa mabwana mpaka hii ndege imepata ajali kirahisi hivi.
Hii ajali imetokea baharini wakiwa wanafanya kazi za offshore.
View attachment 3020078
Majaribio yameenda vizuri sanaHiyo ni helicopter. Sidhani kama ni ajali; wanaifanyia majaribio ya amphibian.
Nadhani hapo ni Gairo mkuu.Kwani ni wapi huko, Tz au?
Dogo,Nadhani hapo ni Gairo mkuu.
Ndio nasikia Halmashauri ya Gairo wamenunua Bahari .Dogo,
Gairo kuna bahari?
Kuna mtu kaokolewa?Kuna mtu kafa?
Waokolewe kwa lipi wakati wapo mazoezini?Kuna mtu kaokolewa?