Ndege yapata ajali baharini offshore

Ndege yapata ajali baharini offshore

Huko ni wapi? Nilisema bibi aondoke na helicopter kwenda kwamandela
 
Sijui wamefanya uzembe gani hawa mabwana mpaka hii ndege imepata ajali kirahisi hivi.

Hii ajali imetokea baharini wakiwa wanafanya kazi za offshore.

View attachment 3020078

Sijui wamefanya uzembe gani hawa mabwana mpaka hii ndege imepata ajali kirahisi hivi.

Hii ajali imetokea baharini wakiwa wanafanya kazi za offshore.

View attachment 3020078
Hawa walikuwa kwenye mazoezi offshore,sema zoezi limeenda vibaya,wakapata ajali ya ndege kubinuka.
 
Back
Top Bottom